Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Wakuu nataka kwenda moro kwa Sgr, je utaratibu ukoje,ticket naweza kwenda katia palepale asubui au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio bus gani hilo mkuu??Wakuu nataka kwenda moro kwa Sgr, je utaratibu ukoje,ticket naweza kwenda katia palepale asubui au
Kwanza fahamu ya kwamba una option mbili,uwende pale pale au ukate mwenyewe kupitia mtandao(www.sgrtiketi.trc.co.tz).Wakuu nataka kwenda moro kwa Sgr, je utaratibu ukoje,ticket naweza kwenda katia palepale asubui au
Mbona paka jina zuri, sema akuite fisi au ubwaNenda tu asubuhi kakatie palepale, ukipata siti niite paka
Kata online. Asubuhi kupata ni ngumu.Wakuu nataka kwenda moro kwa Sgr, je utaratibu ukoje,ticket naweza kwenda katia palepale asubui au
KweliKata online. Asubuhi kupata ni ngumu.
Poa mkuu, nikifika pale naonyesha nini ili ku-comfirm nimelipiaTumia njia ya mtandao
Yeah, natokea kigamboniShida kama ni alfajiri....khaaa kwenda town kutoka kibamba kibaha ndio shidaaaaa
Sawa paka shumeNenda tu asubuhi kakatie palepale, ukipata siti niite paka
Tatizo la Bus masaa matano Dar moroNilikua na safari ya Morogoro ya haraka leo hii, jana saa nne asubuhi tiketi zote online zimeisha mpaka kesho Jumatatu, nadhani Abood angeze tu mabasi.
Afadhali kigamboni.....wahi ytapata tiketi masaa 2 kablaYeah, natokea kigamboni
Saa tisa iyo inamaanaAfadhali kigamboni.....wahi ytapata tiketi masaa 2 kabla
Lini unasafiri.....? Naona tiketi hadi j4 zimejaa labfa j5 kwenda mbele...kwa saa 12 adubuhi...muda mwingine unaweza ukapata j4...Saa tisa iyo inamaana
Treni ni usafiri wa haraka na uhakika, ila muda huu huwezi kupata nafasi ila ukienda Magufuli stand unapata gari na uhakika wa safari, ingawa utachelewa lakini utafika siku husika.Tatizo la Bus masaa matano Dar moro