Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
Siyo kweli kaka ila miradi mingi mikubwa ndiyo chanzo cha ufisadi wa wakubwa na mwisho wa siku deni hilo huwaachia wananchi walilipe.Ukichunguza kwa undani sana, utagundua kwamba miradi mingi ya Kenya " are poorly planned". Nchi yote inaendeshwa kwa mihemko ya kisiasa na kutafuta sifa.
Bahati nzuri wenyewe wanapiga makofi kusherehekea furaha ya macho.