SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

Mwanzisha uzi ndiyo huyuhuyu anajiita agggot tz,
achana naye huyu mbwiga ukweli ni kwamba ni kheri kuboresha bandari ya dsm ambayo imeunganishwa na sgr kulipo kuanzisha huo mradi mmpya wa bagamoyo
Mbona hata wewe ndio huyu huyu Pinga pinga FC?
 
Sgr haifiki mpaka bonyokwa au kihesa!
Kazi ya Malori Ipo palepale
 
SGR haitweza kubeba mzigo yote maana yeneyewe inaenda Mwanza vipi kuhusu mizigo ya Malawi, Zambia, DRC, Burundi na Rwanda ambako SGR haifiki.
 
Dikteta Lini aliweka hadharani mkataba wa ndege,na uwanja wa chatttle??!
Ndege ni hizo mama yako anapanda kila siku

Uwanja wa ndege upo Chato ni mali ya Tanzania na haujazuia uwanja wa ndege wa Dar kuendelea na kazi zake

Sasa subiri msoga ajenge Bandari kwao halafu uambiwe Bandari ya Dar hakuna kuendelea na kazi, bandari ya Bagamoyo imilikiwe na China kwa miaka 99 na mwisho usipolipa deni wachina wanachukuwa Bagamoyo yote mpaka tegeta hapo ndiyo utakumbuka hii comment yako
 
Msoga ndio nani nyie CHADOMO!
 
Mnahangaika sana wezi wakubwa nyinyi.
Je SGR itakwenda na Zambia [emoji1268]?

Je SGR itakwenda na Malawi [emoji1156]?

Je SGR itakwenda mikoa yoote nchini pamoja na wilaya zake?

Kinachokwenda kutokea ni wepesi wa safari za malori ya Transit Goods,sababu badala ya kuyafuata makontena Dar es salaam sasa yatapakilia Bandari kavu ya Fela pale Mwanza. Kisha kupitia daraja la Kigongo-Busisi linaloendelea kujengwa sasa.

Hayo malori yatafanya kazi kama kawaida usitake kutumia kichaka cha malori.

Na kuelekea DRC[emoji1078] BURUNDI [emoji1060]na RWANDA[emoji1206].

Team msoga mnahangaika sana kipigaji zaidi wezi wakubwa nyinyi.

Ebu tuwekeeni huo mkataba tuusome hapa live!
 
Mbona umejijibu vizuri tu mkuu
 
Daah hili nalo hujui?
Danganya watu wa mitandaoni sio Mimi hapa nyasa kinachoendelea sasa ni ujenzi wa barabara kutoka mbinga kuja Mbamba bay. Hiyo SGR ya aliyoaicha JPM haipiti kusini huku tuna TAZARA tu inayoenda Mbeya mpaka Tunduma
 
Malori acha yapaki!! Malori mengi ni Mali za mabepari uchwara wa bongo. Yakipaki hakuna hasara kwa Taifa!!
 
Wewe mtu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…