Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
Itasafirisha MICHEMBE kwenda MISUNGWINadhani ujenzi wa reli ya kisasa ni jambo ghali Sana. Wakoloni walijenga reli kibiashara je SGR inajengwa kibiashara pia? Bidhaa zipi kutoka wapi zitasafirishwa kifaida kwenda wapi?
Sioni mazao ya kilimo, bidhaa za viwandani wala mizigo ya bandari mingi Sana inayohitaji kuyafikia masoko haraka na Kwa wingi.
Ujenzi wa SGR ungeendana na upanuzi wa bandari, mashamba na viwanda. Lakini hata tukipanua bandari, kilimo na viwanda je, masoko ya bidhaa hizo ni akina nani ambao wanaishi wapi?