Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm wameshaingiza mafisadi......huu mradi utaishia kweny mikono ya wanaofadhili Chama
Hiiii makubwahalafu wote ni foreigners, kwa nini hawaendi kuuza kisiwa chao? hata mkutano wa worldbank umefanyika zanzibar kuigawa tanesco yetu kwa foreigners ndio maana wanakata umeme ili kujustify uugawaji wa tanesco yetu to foreigners …
Wew nae huelewi,Haitaki Cheti kuelewa video Kaka.
Reli ni njia moja tu isipokuwa kwenye vituo ndiyo kuna Pacha zaidi ya moja sasa kila mmoja akiweka kichwa chake limekuwa game la nyoka hilo?
Wamekusudia kuigawa Kwa wamtakaye ni suala la muda tu.
Kwan barabara inajengwa na kina shabiby?Kwa Nini hayo makampuni yadingepewa kujenga hyo reli wao wenyewe?
hapa anataka kumpa AZAM! wanatangaza hivi ili baadae tusije sema mzenji ndio kapewa
Kwa unaye elewa hiyo ya kutopishana miaka 6+ bado kitendawili itakuwa hizo gap za vituo vya kupishana na hapo tafsiri ya uharaka itakuwa hakuna zaidi iwe na ordinary train pekee.Wew nae huelewi,
Itapangwa ratiba watu watapishana, na going forward kama kuna ulazima vituo vya kupishania vitajengwa zaidi, m naona ni wazo zuri,
Hata reli ya kigoma wafanye hivo hivo
Sidhani kama atapewa mmoja,.Kwa unaye elewa hiyo ya kutopishana miaka 6+ bado kitendawili itakuwa hizo gap za vituo vya kupishana na hapo tafsiri ya uharaka itakuwa hakuna zaidi iwe na ordinary train pekee.
Hoya huo ni mtego atapewa muwekezaji mmoja Tu labda yeye agawe sub contract Kwa ukatishaji tiketi na usimamizi wa huduma mb'adala.
Tunawatakia kila la heri
Hii ni Kwa ajili ya kuwawezesha wafanya biashara ya ma Lori na sio Kwa Nia ya kuiwezesha nchi kama ilivyo kwenye suala la dipiweldi