SGR kubinafsishwa?

SGR kubinafsishwa?

Na hiyo imeenda... chezea ziara za Dubai weye unaenda kulembua macho Dubai?!

Bado Serengeti Dubai Branch ipanuliwe Nyumbu wote waswagwe wapelekwe huko.
 
halafu wote ni foreigners, kwa nini hawaendi kuuza kisiwa chao? hata mkutano wa worldbank umefanyika zanzibar kuigawa tanesco yetu kwa foreigners ndio maana wanakata umeme ili kujustify uugawaji wa tanesco yetu to foreigners …
Hiiii makubwa
 
Kwa Nini hayo makampuni yadingepewa kujenga hyo reli wao wenyewe?
 
Haitaki Cheti kuelewa video Kaka.
Reli ni njia moja tu isipokuwa kwenye vituo ndiyo kuna Pacha zaidi ya moja sasa kila mmoja akiweka kichwa chake limekuwa game la nyoka hilo?
Wamekusudia kuigawa Kwa wamtakaye ni suala la muda tu.
Wew nae huelewi,
Itapangwa ratiba watu watapishana, na going forward kama kuna ulazima vituo vya kupishania vitajengwa zaidi, m naona ni wazo zuri,
Hata reli ya kigoma wafanye hivo hivo
 
Hapo bado kubinafsisha tanesko, mwendo kasi na polisi
 
Wew nae huelewi,
Itapangwa ratiba watu watapishana, na going forward kama kuna ulazima vituo vya kupishania vitajengwa zaidi, m naona ni wazo zuri,
Hata reli ya kigoma wafanye hivo hivo
Kwa unaye elewa hiyo ya kutopishana miaka 6+ bado kitendawili itakuwa hizo gap za vituo vya kupishana na hapo tafsiri ya uharaka itakuwa hakuna zaidi iwe na ordinary train pekee.
Hoya huo ni mtego atapewa muwekezaji mmoja Tu labda yeye agawe sub contract Kwa ukatishaji tiketi na usimamizi wa huduma mb'adala.
 
Sidhani kama atapewa mmoja,.
Sema wa Tz siwawez, siku zote mmekuwa mkililia hiki kitu, leo kinafanyika mnalia tena hamtaki 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bora nihamie burundi, hawa kenge wakiishiwa vya kuuza watatuuza hata sisi.
 
Back
Top Bottom