Picha tafadhali!Natamani kujua hili na huenda ikawa faida kwa wengi, alasiri ya leo 9.12.2022, nimekutana na mabehewa mapya yaliyoshushwa hivi karibuni yakiwa kwenye reli ya zamani Morogoro, je hayo mabehewa yanawezaje kupita kwenye reli hiyo huku ikitajwa kwamba upana wa reli hizo haufanani.
Nafkir Dar to Dodoma phase ishakamilikaHayo ndio yamefika hapo, yatakuwa yanapiga mzigo kwenye reli yetu hii hii ya Uhuru, hiyo SGR ni hadithi ya kusadikika.
Wewe ulishaona wapi mabehewa yananunuliwa kabla ya reli kukamilika kujengwa?
Kama huamini, subiri muda unasema.
Ngojavtuone,yajayo yanwchek3shaNimeshindwa kupiga picha yamepita fyuuuuu! Ila hayana abiria hata mmoja nadhani yanatestiwa
SGR mbona ipo inaendelea kujengwa mkuu! Kipande cha Moro- Dodoma kiko vizuri na chenyeweHayo ndio yamefika hapo, yatakuwa yanapiga mzigo kwenye reli yetu hii hii ya Uhuru, hiyo SGR ni hadithi ya kusadikika.
Wewe ulishaona wapi mabehewa yananunuliwa kabla ya reli kukamilika kujengwa?
Kama huamini, subiri muda unasema.
Ngoja tuone mkuu!Nimeshindwa kupiga picha yamepita fyuuuuu! Ila hayana abiria hata mmoja nadhani yanatestiwa