SGR: Kuuliza si Ujinga

SGR: Kuuliza si Ujinga

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Natamani kujua hili na huenda ikawa faida kwa wengi, alasiri ya leo 9.12.2022, nimekutana na mabehewa mapya yaliyoshushwa hivi karibuni yakiwa kwenye reli ya zamani Morogoro, je hayo mabehewa yanawezaje kupita kwenye reli hiyo huku ikitajwa kwamba upana wa reli hizo haufanani.
 
Picha tafadhali!
 
Exel za Magurudumu huwa zinatanuliwa na kubana ili ifiti reli yoyote ile huenda wameyabana yafit hapo kuna kitu wanataka kukifanya na watayatanua tena wakitaka hii haiitaj mkandarasi toka nje ni Mafundi tu wa TRC katika karakana zao
 
Hayo ndio yamefika hapo, yatakuwa yanapiga mzigo kwenye reli yetu hii hii ya Uhuru, hiyo SGR ni hadithi ya kusadikika.
Wewe ulishaona wapi mabehewa yananunuliwa kabla ya reli kukamilika kujengwa?

Kama huamini, subiri muda unasema.
 
Nafkir Dar to Dodoma phase ishakamilika

Anytim soon kinawaka
JamiiForums-1798168504.jpg
View attachment 2440903View attachment 2440904

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ndio yamefika hapo, yatakuwa yanapiga mzigo kwenye reli yetu hii hii ya Uhuru, hiyo SGR ni hadithi ya kusadikika.
Wewe ulishaona wapi mabehewa yananunuliwa kabla ya reli kukamilika kujengwa?

Kama huamini, subiri muda unasema.
SGR mbona ipo inaendelea kujengwa mkuu! Kipande cha Moro- Dodoma kiko vizuri na chenyewe
 
Back
Top Bottom