SGR kwanini sikurejeshewa Pesa yangu?

SGR kwanini sikurejeshewa Pesa yangu?

Samehe tu, kwani nauli bei gani ? ? Fanya kama umetoa sadaka
 
Muda wa kuondoka Dar ulikuwa haujafika na ndio maana niliomba kuboresha kabla ya wakati ili wauze 💺
Unaruhusiwa kubadirisha Siku ya kusafiri wastani wa siku 1 mpaka 3 kabla...!

Means ukitoa taarifa kabla ya siku ya safari, Wanaweza kurekebisha kwenye Mfumo kwamba Siti Yako Iko tupu, ili Watu wengine ambao wanafanya Booking online ama hata kukata ticket kwenye office zao waweze kupata Siti..,.!
 
Back
Top Bottom