Unaruhusiwa kubadirisha Siku ya kusafiri wastani wa siku 1 mpaka 3 kabla...!
Means ukitoa taarifa kabla ya siku ya safari, Wanaweza kurekebisha kwenye Mfumo kwamba Siti Yako Iko tupu, ili Watu wengine ambao wanafanya Booking online ama hata kukata ticket kwenye office zao waweze kupata Siti..,.!