Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Stiglers Gorge ni white elephant ? Toka lini umeme ukawa white elephant?Miradi mingi mikubwa afrika ni WHiTE ELPHANT tu,watu wanataka wapige 50% basi na si kusaidia,hata TZ ni hasara tupu hiyo MIDRIMULAINA,ESIGIARA na STIGILAZ GOJI.
The feasibly study and economic viability of this project was targeted and done on Uganda, Rwanda, South Sudan usage of this SGR, they never considered Nairobi on the short run while continuing with the rest of other phases connecting those countries, that's why they are battling with unknown factors in their failuresThere Must be something very wrong with Kenya's SGR, Even after forcing Importers to ferry their containers on the Rail they still make a loss of 10bn.
Actually they are sugarcoating the rotten stuff, this matter is worst more than the average citizens may thinkI also believe the loss is way bigger than what stated!
Kweli MACCM ni MABASHITE.Eti Stiglers Gorge ni white elephant ? Toka lini umeme ukawa white elephant?
You mean it's OK for the government to inject subsidies to Kenya railways company.?It was not made to make profit. If you go around the world you will not find many profitable railways or roads. That's because they are made to make it easier to transport goods and people at an affordable price not to make profit.
Simple mind, how on earth there's useless electricity?Kweli MACCM ni MABASHITE.
Mkuu Stigler GOrge ni moja ya miradi ya "Tembo Mweupe" kwa hapa Tanzania kwasababu gharama za uwekezaji wake ni mkubwa sana ukilinganisha na matokeo yake,hauwezi kuwekeza matrilioni ya shilingi kwa kupata vimegawatt vichache huku ukiharibu "uoto wa asili",hivyo vimegawati vichache tungeweza kuvipata singida kwenye upepo kwa mtaji mdogo tu.Simple mind, how on earth there's useless electricity?
Of course there are plenty alternatives on means of transportations, we may consider your argument about dreamliners and SGR but on electricity you're blatantly wrong.
The world's permanent scarce commodity is ENERGY ⛮ and this shall remain scarcity forever and ever.
Wataenda kuongezea na huko singida....umeme bado unahitajika tena kwa wingiMkuu Stigler GOrge ni moja ya miradi ya "Tembo Mweupe" kwa hapa Tanzania kwasababu gharama za uwekezaji wake ni mkubwa sana ukilinganisha na matokeo yake,hauwezi kuwekeza matrilioni ya shilingi kwa kupata vimegawatt vichache huku ukiharibu "uoto wa asili",hivyo vimegawati vichache tungeweza kuvipata singida kwenye upepo kwa mtaji mdogo tu.
Miradi hiyo mikubwa mara nyingi wanaoandaa wanapiga dili tu za 50% huku wenyewe wanaelewa kwamba ni chaka....It's useless in term of Msingi Contenta output KISODA.
Huwa sielewi hawa watu,wnanchi wanakatwa kila siku chaji za REA kuendeleza miradi ya umeme vijijini,cha kushangaza Vijiji kibao havina umeme huko DSM achilia mbali NAMINYWILI au MWALUSEMBE,Bomba la gesi tumewekeza fedha nyingi halafu utilisation ni 6% tu,Tunawekeza tena kwenye stiglaz yaani full wizi kutia nchi hasara maana mikodi itabidi waongeze wapate hayo mafedha,midrimulaina kibao na mibondia watu wanakunywa maji ya tope eti kisa wauza samaki na maua wapate usafiri kweli sisiemu ni MABASHITE,Drimulaina ya usd 100m yeye kaenda kununua kwa 224m usd nyingine kapiga na katibu wake .Wataenda kuongezea na huko singida....umeme bado unahitajika tena kwa wingi
Hayo matatizo yalianza ghafla tu? Kwahio unategemea pia ghafla tu hayo matatizo yataisha??Huwa sielewi hawa watu,wnanchi wanakatwa kila siku chaji za REA kuendeleza miradi ya umeme vijijini,cha kushangaza Vijiji kibao havina umeme huko DSM achilia mbali NAMINYWILI au MWALUSEMBE,Bomba la gesi tumewekeza fedha nyingi halafu utilisation ni 6% tu,Tunawekeza tena kwenye stiglaz yaani full wizi kutia nchi hasara maana mikodi itabidi waongeze wapate hayo mafedha,midrimulaina kibao na mibondia watu wanakunywa maji ya tope eti kisa wauza samaki na maua wapate usafiri kweli sisiemu ni MABASHITE,Drimulaina ya usd 100m yeye kaenda kununua kwa 224m usd nyingine kapiga na katibu wake .
Mzee elimu yako ni ya kiwango(level) gani? Maana nilicheoleza na ulichojibu ni vitu viwili tofauti.Hayo matatizo yalianza ghafla tu? Kwahio unategemea pia ghafla tu hayo matatizo yataisha??
Ya vidudu......... acha kulalamika mambo bado mzee ana muda wakutosha tu kuweka sawa mambo yoteMzee elimu yako ni ya kiwango(level) gani? Maana nilicheoleza na ulichojibu ni vitu viwili tofauti.
Takwimu zinaonyesha kadri mda unavyoongezeka ndio anazidi kuharibu,ona sasa tulikuwa tunapata kwa Mwezi 400m kwenye TZ9T sasa ni 40m pamoja na ukuta juu.Ya vidudu......... acha kulalamika mambo bado mzee ana muda wakutosha tu kuweka sawa mambo yote
Funga mkanda mabadiliko sio kitu chepesi sasa mlitaka muendelee kula vilevile na mambo mengine yasonge lazima tukubali ku sacrifice mengine ili tuendelee ....kwa sasa kila mtu apambane na hali yake hata ukilalamika na kuponda haitasaidia kituTakwimu zinaonyesha kadri mda unavyoongezeka ndio anazidi kuharibu,ona sasa tulikuwa tunapata kwa Mwezi 400m kwenye TZ9T sasa ni 40m pamoja na ukuta juu.
Tatizo nyie mnadhani kila mtu anayetoa mawazo tofauti na nyinyi basi ni mpinzani tu,sie ndio tunaitakia TZ mema,nyie mpo huko coz mmekinga mirija mnakunywa maziwa na kula keki ya taifa ndio maana mmefumba macho tu hamtaki kumshika mkono jiwe.Funga mkanda mabadiliko sio kitu chepesi sasa mlitaka muendelee kula vilevile na mambo mengine yasonge lazima tukubali ku sacrifice mengine ili tuendelee ....kwa sasa kila mtu apambane na hali yake hata ukilalamika na kuponda haitasaidia kitu