Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Ameshashikwa mkono tena na mikono miwili kabisa 2020 tunamshika mkono tena amalizie vission yakeTatizo nyie mnadhani kila mtu anayetoa mawazo tofauti na nyinyi basi ni mpinzani tu,sie ndio tunaitakia TZ mema,nyie mpo huko coz mmekinga mirija mnakunywa maziwa na kula keki ya taifa ndio maana mmefumba macho tu hamtaki kumshika mkono jiwe.