Tatizo nyie mnadhani kila mtu anayetoa mawazo tofauti na nyinyi basi ni mpinzani tu,sie ndio tunaitakia TZ mema,nyie mpo huko coz mmekinga mirija mnakunywa maziwa na kula keki ya taifa ndio maana mmefumba macho tu hamtaki kumshika mkono jiwe.

Na nyinyi mnaona kila anaemtetea ni kwamba anafaidika na huu utawala sisi wengine tumeamua tu kumpa support hata kama hio mirija haipiti kwetu ila tunaona kinachofanyika