SGR Phase II Morogoro-Makutupora to be officially launched

Hawa wajamaa wetu wa kulaunch wananishangaza kila siku. Wananikumbusha pale campus jamaa wangu moja alikua akiregister kampuni mpya kila kuchao wakati hamna hata kampuni moja yake inayofanya lolote. Kila siku akiskia idea mpya anafungua kampuni kuimplement hiyo idea. By the end of five years alikua na dormant companies kama 15 hivi.
 
Subiri 2019 utaanza kuona kimoja baada ya kingine kikifunguliwa. Sasa hivi ni kipindi cha kuanza kazi.
 
Kwani inachukua miaka ngapi kuanza kazi? story za SGR mmeanza 2008, hadi sahii kazi haijaanza? Kama kuanza kazi imechukua more than 10 years na kukamilisha je? Kenya phase II tumeanza hata miezi tano hazijaisha yet picha tunazo already na sections kadhaa zishaakamilika, ninyi ni kulaunch tu tangu 2008.
 
Duh! hapa nakuona umechanganyikiwa sasa. Hizi Story za 2008 umezitoa wapi?
 
Tunaomba hata kilokita 10 zilizojengwa hiyo SGR.. Nadhani Mwaka jana au juzi ndio tulifungua phase 1.. Vipi mkandarasi kafikia wapi?
 
Picha ni haki yetu bana, angalau hata sie wakenya tuone SGR ya watani zetu imefika wapi na ni ya ghorofa ngapi. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom