NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Hawa wajamaa wetu wa kulaunch wananishangaza kila siku. Wananikumbusha pale campus jamaa wangu moja alikua akiregister kampuni mpya kila kuchao wakati hamna hata kampuni moja yake inayofanya lolote. Kila siku akiskia idea mpya anafungua kampuni kuimplement hiyo idea. By the end of five years alikua na dormant companies kama 15 hivi.