LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Kesho nilikuwa na safari ya moro nikaona niwachek niulize Ratiba zao nikauliza Treni ya kwanza inatoka saa ngapi nikaambiwa ni saa 12 kamili asubuhi, muda wa kuripoti ni saa 11 na kama huna tiketi uripoti saa kumi usiku yaani niripoti saa kumi usiku safari ya moro?
Kutoka Dar Saa 12 kamili asubuhi kwenda Moro mmebugi sana, maana baada ya hapo treni inayofuata ni jioni, nawashauri kama hamna Treni nyingi basi anglau treni itoke hata saa 2, kumtoa mtu nyumbani saa 10 za usiku kuwahi Treni ya Moro ni kipengele
Safari fupi ya morogoro kumtoa mtu nyumbani saa 10 usiku ni masihara
La sivyo wekezeni angalau kuwe na Treni nyingi, kila baada ya masaa matatu itoke treni, la sivyo mabasi yataendelea kupiga pesa