kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Vipo vituo vya kupishana mzee na hasa kwenye steshenireli zinawezesha treni mbili kupishana njiani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipo vituo vya kupishana mzee na hasa kwenye steshenireli zinawezesha treni mbili kupishana njiani?
Hivi tren ikikuacha unaikimbiza na nini ili upande maana basi tunalikimbiza na toyo na linasimama napanda zangu polepole ?Kesho nilikuwa na safari ya moro nikaona niwachek niulize Ratiba zao nikauliza Treni ya kwanza inatoka saa ngapi nikaambiwa ni saa 12 kamili asubuhi, muda wa kuripoti ni saa 11 na kama huna tiketi uripoti saa kumi usiku yaani niripoti saa kumi usiku safari ya moro?
Kutoka Dar Saa 12 kamili asubuhi kwenda Moro mmebugi sana, maana baada ya hapo treni inayofuata ni jioni, nawashauri kama hamna Treni nyingi basi anglau treni itoke hata saa 2, kumtoa mtu nyumbani saa 10 za usiku kuwahi Treni ya Moro ni kipengele
Safari fupi ya morogoro kumtoa mtu nyumbani saa 10 usiku ni masihara
La sivyo wekezeni angalau kuwe na Treni nyingi, kila baada ya masaa matatu itoke treni, la sivyo mabasi yataendelea kupiga pesa
ndege ni route ya moro dar?Mbona Ndege huwa hatuuliza maswali haya?
Yetu haiwezeshi lakini kuna vituo vya kupishana.reli zinawezesha treni mbili kupishana njiani?
huoni tofauti ya nusu saa na masaa mawiliMbona mabasi yanaanza safari za kwenda mikoani saa 9 alfajiri, uwe kituo saa 8:30 alfajiri.
tofauti ya nusu saa na masaa mawili
Sijakuelewa, mimi nimezoea kuondoka nyumbani saa 9 ili nipande basi saa 9:30, sasa huo uvivu ni upi! Mimi ninamuona anayelalamika kuwa saa 12 ni mapema sana kuwa ni mvivu.Kama duniani tungekuwa na philosophy kwamba kurahisisha maisha na kuyafanya yawe comfortable zaidi ni kuendekeza uvivu, hadi leo tungekuwa tunasafiri kwa mguu Dar hadi Morogoro. Watu wenye kuwaza namna hii ndio mnaotukwamisha kutoka kilimo cha jembe la mkono kwenda kwenye kilimo cha tractor zenye AC!
Wenzako tunapanda treni Dar / Moro saa 12 nafika Moro mapema napanda basi saa nne niko Dodoma.Unahisi wao hawalijui hilo ? Hi nchi we acha tu vitu vya umma vinahujumiwa sana
Kuanzia sa 2 asubuhi Hadi sa 8 mchana ndio muda ambao Kuna abiria wengi wa Dar to Moto na ndio muda ambao treni hakuna lazima watu wapande mabasi
Ndege watu hawaulizi kwa sababuMbona Ndege huwa hatuuliza maswali haya?
wangeweka saa kumi na mbili asubuhi na saa tatu, na nyingine saa tisa na saa kumi na mbiliKesho nilikuwa na safari ya moro nikaona niwachek niulize Ratiba zao nikauliza Treni ya kwanza inatoka saa ngapi nikaambiwa ni saa 12 kamili asubuhi, muda wa kuripoti ni saa 11 na kama huna tiketi uripoti saa kumi usiku yaani niripoti saa kumi usiku safari ya moro?
Kutoka Dar Saa 12 kamili asubuhi kwenda Moro mmebugi sana, maana baada ya hapo treni inayofuata ni jioni, nawashauri kama hamna Treni nyingi basi anglau treni itoke hata saa 2, kumtoa mtu nyumbani saa 10 za usiku kuwahi Treni ya Moro ni kipengele
Safari fupi ya morogoro kumtoa mtu nyumbani saa 10 usiku ni masihara
La sivyo wekezeni angalau kuwe na Treni nyingi, kila baada ya masaa matatu itoke treni, la sivyo mabasi yataendelea kupiga pesa
Online unakata vipi mkuu ?Mie nikajua labda tren ya kuondoka saa 12 imeondoka saa 1.
Kwa Hapo usiwalaumu SGR, kata tiketi yako online mapema, unakuwa na uhakika wa safari, mie nilikata tiketi tren ya kutoka moro kuja dar ya saa 2 na dk 50asubuh, kwa kuwa tiketi nilikata toka jana yake kwenye mtandao, siku ya safari nilifika stesheni saa 2 na nusu hivi, saa 2 na dk 50 safari ikaanza.
Kuamka saa 9 inahitaji effort kubwa, pamoja na kujinyima usingizi wa optimum masaa 7 ili akili ifanye kazi sawasawa. Life is about minimizing the effort required in doing things. Usemi kuwa nimezoea shida hauna uhalisi, bali watu wanavumilia shida. Kwa hiyo TRC hawapaswi kuweka ratiba ambazo zinahitaji watu waweke effort kubwa ya kuamka pasipo sababu za msingi. TRC wana sababu zipi za msingi za kuondoka saa 12 asubuhi wakijua watu itabidi watumie effort kubwa kuamka saa 10 alfajiri ili waende stesheni na waiwahi train?Sijakuelewa, mimi nimezoea kuondoka nyumbani saa 9 ili nipande basi saa 9:30, sasa halo uvivu ni upi! Mimi ninamuona anayelalamika kuwa saa 12 ni mapema sana kuwa ni mvivu.
Wewe sio msafiri serious.Kesho nilikuwa na safari ya moro nikaona niwachek niulize Ratiba zao nikauliza Treni ya kwanza inatoka saa ngapi nikaambiwa ni saa 12 kamili asubuhi, muda wa kuripoti ni saa 11 na kama huna tiketi uripoti saa kumi usiku yaani niripoti saa kumi usiku safari ya moro?
Kutoka Dar Saa 12 kamili asubuhi kwenda Moro mmebugi sana, maana baada ya hapo treni inayofuata ni jioni, nawashauri kama hamna Treni nyingi basi anglau treni itoke hata saa 2, kumtoa mtu nyumbani saa 10 za usiku kuwahi Treni ya Moro ni kipengele
Safari fupi ya morogoro kumtoa mtu nyumbani saa 10 usiku ni masihara
La sivyo wekezeni angalau kuwe na Treni nyingi, kila baada ya masaa matatu itoke treni, la sivyo mabasi yataendelea kupiga pesa
Sio kuwa nyie ni wasafiri serious, bali ni wasafiri mnaovumilia shidaWewe sio msafiri serious.
.tunaishi dar tunafanya kazi Moro.
hujalazimishwa kupanda train endelea kupanda busHivi tren ikikuacha unaikimbiza na nini ili upande maana basi tunalikimbiza na toyo na linasimama napanda zangu polepole ?
Mbona jirani yako anakula bata kila siku wewe huwezi?Mbona Ndege huwa hatuuliza maswali haya?
Ukimbize treni ya SGR ikiwa umechwa? Labda uwe Mpare. Maana utaingia gharama mara tano ya bei ya ticket na utafanikiwa kuipata, ikiwa imeshafika Morogoro!Hivi tren ikikuacha unaikimbiza na nini ili upande maana basi tunalikimbiza na toyo na linasimama napanda zangu polepole ?
amesema anatakiwa aende kukata ticket saa 10 kama hana ticket halafu safari saa 12Sijakuelewa, mimi nimezoea kuondoka nyumbani saa 9 ili nipande basi saa 9:30, sasa huo uvivu ni upi! Mimi ninamuona anayelalamika kuwa saa 12 ni mapema sana kuwa ni mvivu.
Unatumia line!😀Online unakata vipi mkuu ?