KERO SGR rekebisheni muda wa Safari, mnapoteza abiria

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu, wewe saa ngapi ndio unaona muda sahihi? Huu ni mwanzo baadae wakianza trip za Dodoma hata routes zitaongezeka kwasababu abiria watakuwa wengi DAR-MORO-DOM-DAR ila sasa hivi route ya Moro haina watu wengi ndio maana zipo trip mbili tu. Wakianza saa mbili asubuhi vipi wale wanaotaka kuwahi? Mind you kufika mapema sehemu sio issue ila kuchelewa ni issue. Kama una haraka saa 12 inakufaa,kama huna haraka panda ya jioni.
 
ungesema mabasi ya watunga sheria yataendelea kupiga hela sana
 
Jipange
 
Kwani lengo ni kuzuia mabasi kupiga pesa?
 
wametageti watu wanaotoka dsm wakawahi kazini moro and vice verse. nadhani wengi wape. cha muhimu tu waongeze idadi ya treni. punguzeni hayo mashangingi mnunue treni ziwe rundo watu wafurahie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…