SGR ya Kenya inabeba tonne 4,000 wakati ya Tanzania itakuwa nauwezowa tonne 10,000 za mzigo.

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
SGR ya Kenya inauwezo wakubeba tonne 4,000 wakati ya Tanzania itakuwa na uwezo wakube tonne10,000 za mzigo kwa wakati mmoja ambayo ni zaidi ya mala mbili ya SGR ya Kenya. Hili swala nilikuwa sijawahi lichunguza. Kiukweli Magufuli anastahili pongezi. Wachina sio watu wazuri kwa Kenya. Inamaana mfumo wa SGR(Tuta) ya Tanzania itakuwa na uwezo mkubwa zaidi wakubeba mzigo.
Screenshot_2017-07-01-11-19-58.png
Screenshot_2017-07-01-10-47-14.png
 
Kama ni hivyo tushukuru mungu ?mzigo huo ni mkubwa.
Lakini inabidi tuongeze nguvu ktk uzalishaji.
1.Wakulima waelimishwe na wapewe sehemu za kulima si kuacha walime ili roho mbaya waeafyekee mazao yao.
2.Kilimo cha umwagiliaji kitiliwe mkazo.
3.Wafugaji wapewe sehemu za kufugia si kupendelea minyama pori.
4. Wanyama wafugwao wapewe mapori ya malisho.Si kuwambia wafugaji wapunguze mifugo.
5.Wiwanda vijengwe mikoani kwenye malighafi.
6. Mwanza au Shinyanga kijengwe kiwanda cha kusindika nyama.
7. Hata pesa ya kujenga airport ingejenga kiwana cha kusindika nyama Geita.

YOTE HAYA NI KUFANYA TRENI IKIPELEKA MIZIGO MIKOANI ISIRUDI TUPU.
LOAD IWE TWO WAY SIYO ONE WAY DENSITY.
PAWEPO RETURN CARCO. HAPO Tutasifu uwezo wa tani 10,000.
Kinyume tuaifanyisha under capacity.
Litakuwa na uwezo usio tumika.
Kilimo na ufugaji utukomboe
 
Kwa sasa Mwanza, Geita kunaviwanda vya nyama na ngozi vinajengwa. Kasi ya maendeleo si mchezo. Magufuli hatari sana. Anajua sehemu za kugusa na namna ilikukuza uchumi
 
SIMIYU kuna viwanda vikubwa vitatu mpk sasa
Kiwanda cha chaki kimeanza kujengwa zaid ya 1.5 blns zimetolewa mpk sasa.
Kiwanda cha kusindika maziwa wilaya ya meatu na Kusindika nyanya na pilipili kule Busega feasibility study inaendelea kufanyika
Kuna mpango w kujenga kiwanda cha Sabuni Itilima na kiwanda kikubwa cha Pamba, kwa ajili ya vifaa tiba na nyuzi.

Kwa Pamoja tunaliendeleza Taifa letu.
 
Bora hata wao washaiona na kuanza kuitumia ya kwetu ipo kwny makaratasi mipicha picha tu
Unauwakika?? Mbona unaleta sasa kwakila jambo. Mimi mwenyewe mpinzani kakini kwahili nampongeza sana raisi. Ujenzi umesha anza. Ingia You tube andika RAHCO Millard Ago. Utajionea. Achana na siasa.
 
SIMIYU kuna viwanda vikubwa vitatu mpk sasa
Kiwanda cha chaki kimeanza kujengwa zaid ya 1.5 blns zimetolewa mpk sasa.
Kiwanda cha kusindika maziwa wilaya ya meatu na Kusindika nyanya na pilipili kule Busega feasibility study inaendelea kufanyika
Kuna mpango w kujenga kiwanda cha Sabuni Itilima na kiwanda kikubwa cha Pamba, kwa ajili ya vifaa tiba na nyuzi.

Kwa Pamoja tunaliendeleza Taifa letu.
Ukweli tupu huu, na kwa kuongezea tu, ni sera ya Mkoa kila wilaya kuwa na kiwanda cha kuzalisha bidhaa yake kuu.
 
Tuliwaambia SGR ya kenya ni ufisadi mkubwa sana pale
pesa imepigwa
hahaha
MCHINA MUNGU ANAKUONA
 
SIMIYU kuna viwanda vikubwa vitatu mpk sasa
Kiwanda cha chaki kimeanza kujengwa zaid ya 1.5 blns zimetolewa mpk sasa.
Kiwanda cha kusindika maziwa wilaya ya meatu na Kusindika nyanya na pilipili kule Busega feasibility study inaendelea kufanyika
Kuna mpango w kujenga kiwanda cha Sabuni Itilima na kiwanda kikubwa cha Pamba, kwa ajili ya vifaa tiba na nyuzi.

Kwa Pamoja tunaliendeleza Taifa letu.
Viwanda vinajengwa kama Njugu kila kona
 
Unauwakika?? Mbona unaleta sasa kwakila jambo. Mimi mwenyewe mpinzani kakini kwahili nampongeza sana raisi. Ujenzi umesha anza. Ingia You tube andika RAHCO Millard Ago. Utajionea. Achana na siasa.

Mbona hiyo video ya Rahco Millard Ayo huwa unaambia watu tuingie, kila nikiingia huwa naona ni stori stori tu. Jamaa wapo wanatolea maelezo maelezo mengiiii, tunataka kuona action/moshi sio hadithi. Mlituzungusha hivi kwenye bandari ya Bagamoyo, stori nyingi kwamba ndio ze ze largest port, hatimaye kimyaaaaa.

Sisi leo hii tunasafiri kwa SGR, kitu cha kuonekana kwa macho sio hizo ze ze ze zenu.
 
Nacho jua tumewashika pabaya sana. Hiyo omo unayotoa sio bure 10,000 divide by 4,000 What do you get?? Hahaaa Mchina mbaya sana. Lazima mtutafute kwa torch.

Kama nilivyosema hayo yote yapo kwenye makaratasi na vijimaneno maneno, lakini Kenya sasa hivi tupo tuna kitu cha kuonekana. Ukitaka nikuletee vijimaneno vilivyomo kwenye makaratasi ya mipango ya miradi Kenya nitajaza server, lakini sie hupenda kuonyesha yanayotendeka na kuonekana.

Subiri nikipata fursa nitajaza huu uzi mapicha ya SGR yetu utakimbia...

gjgp.php

sgr-map-1.jpg

Excusive-photos-of-Locomotives-Delivery-Ceremony-of-the-Standard-Gauge-Railway-Project-SGR-Kenya.jpg
 
Nacho jua tumewashika pabaya sana. Hiyo omo unayotoa sio bure 10,000 divide by 4,000 What do you get?? Hahaaa Mchina mbaya sana. Lazima mtutafute kwa torch.

Kiingereza ni lugha muhumu sana aisee...

screenshot_2017-07-01-11-19-58-png.533891

Hebu soma hiyo article tena.....?
 
SGR ya Kenya inauwezo wakubeba tonne 4,000 wakati ya Tanzania itakuwa na uwezo wakube tonne10,000 za mzigo kwa wakati mmoja ambayo ni zaidi ya mala mbili ya SGR ya Kenya. Hili swala nilikuwa sijawahi lichunguza. Kiukweli Magufuli anastahili pongezi. Wachina sio watu wazuri kwa Kenya. Inamaana mfumo wa SGR(Tuta) ya Tanzania itakuwa na uwezo mkubwa zaidi wakubeba mzigo.View attachment 533891View attachment 533892
54 double stack flat wagons carrying 216 TEUs

20ftcontainer1.jpg

A single teu in full capacity can weigh a max 30.5 tonnes...if I am not wrong, multiply that by 216......

In addition to that, the cargo train will also be towing trailing load weing a total of 4000tonnes....

Sasa hii mambo ya Tz cargo carrying 10k tonnes and Kenya's 4000 tonnes umetoa wapi? The cargo trains will in both Kenya and Tanzania will be carrying the equal amount of load, more or less.

But at the end of the day.....it is about what lutataza has stated above, it also applies to Kenya.
 
Tani 4,000? Hii ni sawa na mabehewa mia! Hii kitu hata kwa treni za Ulaya na Marekani haujapata kutokea...
 
Back
Top Bottom