Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kenge kweli. Sisi tunaongelea uwezo wa reli kubeba tonne wewe unaongelea kujenga. Kwani ujenzi ukikamilika wote Kenya uwezo unaongezeka?? Usidandie thread bila kusoma content. Unasoma kichwa cha habari nakutoa povu.
Hahahaha this is unbelievable watu wamekosa chochote cha back fire now we are beating them hands down wanajifanya they want peace, no way uzi ni uleule
Kenya ni kati ya inchi za mwisho kujenga Reli ya aina hiyo, Tanzania ipo ni ya Tazara. Waliyoojenga kenya ni kama ya Tazara, huwezi hukatumia imeme, itakayo jengwa Tanzania itatumia umeme, maungio ya Reli yatakua kila baada kilmeta moja. Maungio ya Tazara na ya Kenya haizidi metre 20. Wakitaka iwe kama itakayojengwa TZ, ni kazi ndogo nikuleta mitambo ya kuunganisha Reli na kufunga nguzo za umeme basi. Kumbuka Tazara ni Reli ya kimataifa inaeenda mpaka Africa ya kusini, kwa kupitia DRC ni mpaka Afrika ya kati. Reli ni moja lakini kuna sehemu kuna umeme na sehemu hazina umeme. Kwamfano Zimbabwe kuaanzia falls Town mpaka bulawayo hakuna umeme na kuaanzia Bulawayo mpaka Harare kuna umeme. Reli hii itakua mojaAfrica nzimaHakuna maendeleo bila maumivu,wacha tuteseke tu watoto wetu waje kula bata,iliwachukua China zaidi ya miaka 60 kufikia maendeleo walionayo leo na wakati wakiwa kwenye ugumu dunia nzima ilikuwa inawacheka.
Safi sana, reli yetu ni backbone ya African railway line sababu inahudumia mataifa mengi mnoKenya ni kati ya inchi za mwisho kujenga Reli ya aina hiyo, Tanzania ipo ni ya Tazara. Waliyoojenga kenya ni kama ya Tazara, huwezi hukatumia imeme, itakayo jengwa Tanzania itatumia umeme, maungio ya Reli yatakua kila baada kilmeta moja. Maungio ya Tazara na ya Kenya haizidi metre 20. Wakitaka iwe kama itakayojengwa TZ, ni kazi ndogo nikuleta mitambo ya kuunganisha Reli na kufunga nguzo za umeme basi. Kumbuka Tazara ni Reli ya kimataifa inaeenda mpaka Africa ya kusini, kwa kupitia DRC ni mpaka Afrika ya kati. Reli ni moja lakini kuna sehemu kuna umeme na sehemu hazina umeme. Kwamfano Zimbabwe kuaanzia falls Town mpaka bulawayo hakuna umeme na kuaanzia Bulawayo mpaka Harare kuna umeme. Reli hii itakua mojaAfrica nzima