SGR ya Kenya inabeba tonne 4,000 wakati ya Tanzania itakuwa nauwezowa tonne 10,000 za mzigo.

SGR ya Kenya inabeba tonne 4,000 wakati ya Tanzania itakuwa nauwezowa tonne 10,000 za mzigo.

Great! just another compare and contrast thread...huwa hamchoki na hii mambo ya 'nchi yetu bora' 'yenu mbaya'..mara sisi ndio bor, nyie ni bure....duh! I'm starting to think that South African guy was right by saying Africans we are cursed...you guys wake up...while you are comparing the littl you have, other nations are like a century ahead of us in almost everything...while we are celebrating a railway barely 2 months old, some ppl have had electric trains plying to and from their country for decades...ushindani ni kitu kizuri ila cant we just get along briefly and try to emulate the more developed nations?

I already know how this will end.....this is how it goes...a guy starts a compare and contrast thread...both sides jump in bila mpango ili kutetea nchi yao...mwishowe watu wanatema povu...usiku unafika watu wanaenda kulala kila moja akifikiri ameshinda...next morning the cycle continues..I've seen this many times...it always ends the same...there is no winner...

pengine tunaogopa tusipolinganishana hatutakuwa na chochote cha kujadili hapa JF ila hio si kweli...trust me I have been to Skyscrapercity and Quora and there isnt such behavior but there are still a lot of things to discuss at the end of the day...

sisi mbilikimo tunapigana hapa kila uchao wakati jamaa warefu wanacheza basketball kule NBA na kutengeneza mabilioni ya pesa...duh!
nikimalizia, jiburudishe na hii video ya nairobi mombasa railway jumapili hii
 
Watu wanaoshabikia mambo ya kipumbavu Tanzania wanaongozwa na ccm
Yaani wewe unakuja kuringishia na Mimi nitampata mtoto mwezi flani na rihana wakati hata jokate hujawahi mti* na wala hauna demu wakati mwezentu tayari kapata mkamba au mtaveta na tayari wanamtoto lakini hawasemi.
Poor tanzania
 
Tani 4,000? Hii ni sawa na mabehewa mia! Hii kitu hata kwa treni za Ulaya na Marekani haujapata kutokea...
The heaviest trains in the world carry bulk traffic such as iron ore and coal. Loads can be 130 tonnes per wagon and tens of thousands of tonnes per train. Daqin railway transports more than 1 million tonnes of coal to the east sea shore of China every day and in 2009 is the busiest freight line in the world Such economies of scale drive down operating costs. Some freight trains can be over 7 km long.
 
Unatamani aridhi ipasuke popote pale Uhuruto walipo.10,000÷4,000=? Naule wimbo wao wakuomboleza wa jubilee. ( Kenyaaaa Oooooh Kenya, Kenyaaaa Ooooh Kenyaaaa) Baada ya miaka mitano watarudi tena kuomboleza nahuo wimbo
IMG_20170610_005518.jpg
SGR-train-Kenya-2.jpg
Kama nilivyosema hayo yote yapo kwenye makaratasi na vijimaneno maneno, lakini Kenya sasa hivi tupo tuna kitu cha kuonekana. Ukitaka nikuletee vijimaneno vilivyomo kwenye makaratasi ya mipango ya miradi Kenya nitajaza server, lakini sie hupenda kuonyesha yanayotendeka na kuonekana.

Subiri nikipata fursa nitajaza huu uzi mapicha ya SGR yetu utakimbia...

gjgp.php


sgr-map-1.jpg


Excusive-photos-of-Locomotives-Delivery-Ceremony-of-the-Standard-Gauge-Railway-Project-SGR-Kenya.jpg
 
Unatamani aridhi ipasuke popote pale Uhuruto walipo.10,000÷4,000=? Naule wimbo wao wakuomboleza wa jubilee. ( Kenyaaaa Oooooh Kenya, Kenyaaaa Ooooh Kenyaaaa) Baada ya miaka mitano watarudi tena kuomboleza nahuo wimboView attachment 534059 View attachment 534060

Wewe kwa akili zako hata tukiamua kuendana na hiyo reli yenu ya kwenye karatasi au khanga unafikiria uwezo wa kuburuza mizigo tani 10,000 hapo kibongobongo mtatoa wapi.
 
Hiyo sio kweli. Hili swala nimelichunguza baada ya waziri wetu wa ujenzi Makame Mbarawa wakati anasaini mikataba ya upanuzi wa bandari Dar. Alidai reli yetu itakuwa nauwezo wakubeba mzigo mala mbili ya Kenya naakasema sisemi hivyo kwania yakuonyesha tuko kwenye ushindani na wenzetu lakini kuonyesha ninamna gani tumejipanga. Mimi hili nilikuwa silijui ndoikanibidi nifanye research. 10,000÷4,000=?? Usitake kusema tuko sawa na nyinyi. Soma vizuri tena. Kwani naona kama uwamini.Ikiwezekana leta source nyingine. Kijifanya wajuaji na hayo mahesabu mchwara yako yatawa cost sana
Screenshot_2017-07-01-11-19-58.png
Screenshot_2017-07-01-10-47-14.png
54 double stack flat wagons carrying 216 TEUs

A

A single teu in full capacity can weigh a max 30.5 tonnes...if I am not wrong, multiply that by 216......

In addition to that, the cargo train will also be towing trailing load weing a total of 4000tonnes....

Sasa hii mambo ya Tz cargo carrying 10k tonnes and Kenya's 4000 tonnes umetoa wapi? The cargo trains will in both Kenya and Tanzania will be carrying the equal amount of load, more or less.

But at the end of the day.....it is about what lutataza has stated above, it also applies to Kenya.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-07-01-11-19-58.png
    Screenshot_2017-07-01-11-19-58.png
    28.6 KB · Views: 25
  • Screenshot_2017-07-01-10-47-14.png
    Screenshot_2017-07-01-10-47-14.png
    26.5 KB · Views: 27
Wewe kwa akili zako hata tukiamua kuendana na hiyo reli yenu ya kwenye karatasi au khanga unafikiria uwezo wa kuburuza mizigo tani 10,000 hapo kibongobongo mtatoa wapi.
Wewe kweli mtuwaajabu sana kwelikweli. 10,000 tonne inawanyima raha. Maana yake nikwamba Treni mbili na nusu za SGR ya Kenya sisi Tanzania ni mzigo wa treni moja. Hahaaaa. Naona sasa lugha yako inabadilika nakuanza kusingizia mzigo. Mchina mlifanya nini wakenya adikuamua kuwaliza hivyo?? Kenyaaaa Oooh Kenyaaaa Ooooh Kenyaaaa. Uwanawasikia Jubilee wakiomboleza mwenye tangazo lao
 
Tani 4,000? Hii ni sawa na mabehewa mia! Hii kitu hata kwa treni za Ulaya na Marekani haujapata kutokea...
Ndo maana wanangu route nyingi za cargo na vichwa vingi kuliko passenger locomotives. Mchina mbaya sana. Kenyaaaa Ooooh Kenyaaa. Wimbo wakuomboleza wa Jubilee
 
Wewe ndoinakubidi usome tena. Nahisi unatafasili kwenye kilugha cha mashinani. Au tukuazime miwani. Wazee wakupindisha lugha. Kwa hiyo unatoka kusema 4,000 tonnes niuzote wa treni?? Wewe kweli janga
Kiingereza ni lugha muhumu sana aisee...


screenshot_2017-07-01-11-19-58-png.533891


Hebu soma hiyo article tena.....?
 
Hiyo sio kweli. Hili swala nimelichunguza baada ya waziri wetu wa ujenzi Makame Mbarawa wakati anasaini mikataba ya upanuzi wa bandari Dar. Alidai reli yetu itakuwa nauwezo wakubeba mzigo mala mbili ya Kenya naakasema sisemi hivyo kwania yakuonyesha tuko kwenye ushindani na wenzetu lakini kuonyesha ninamna gani tumejipanga. Mimi hili nilikuwa silijui ndoikanibidi nifanye research. 10,000÷4,000=?? Usitake kusema tuko sawa na nyinyi. Soma vizuri tena. Kwani naona kama uwamini.Ikiwezekana leta source nyingine. Kijifanya wajuaji na hayo mahesabu mchwara yako yatawa cost sanaView attachment 534067 View attachment 534068

So unatueletea stori ya waziri alisema, lete technical data tujadili kiutaalam wacha hayo maneno ya kwenye khanga.
 
Unauwakika?? Mbona unaleta sasa kwakila jambo. Mimi mwenyewe mpinzani kakini kwahili nampongeza sana raisi. Ujenzi umesha anza. Ingia You tube andika RAHCO Millard Ago. Utajionea. Achana na siasa.
Acha uongo imeanza lini
 
So unatueletea stori ya waziri alisema, lete technical data tujadili kiutaalam wacha hayo maneno ya kwenye khanga.
Wewe naona hii kitu imejushutua sana. Nimekuwekea data mwisho. Kama ujasoma pole sana.
 
Data nimewawekea. Kama unaweza kupinga let's nazakwako. Pole sana mkuu. Uhuruto wamefanya mapenzi na mwanamke mkavu. Lazima utumie mate kama lubricant
So unatueletea stori ya waziri alisema, lete technical data tujadili kiutaalam wacha hayo maneno ya kwenye khanga.
 
Data nimewawekea. Kama unaweza kupinga let's nazakwako. Pole sana mkuu. Uhuruto wamefanya mapenzi na mwanamke mkavu. Lazima utumie mate kama lubricant
Acha kupotosha watu bwege wewe hata tuta halijawekwa unatutoa ufahamu etii umeanza wapi
 
Wakati treni ya mwendokasi ya kenya inabeba tanni 4000 ya tz ni tanni 10,000 ya kufikirika.
 
Data nimewawekea. Kama unaweza kupinga let's nazakwako. Pole sana mkuu. Uhuruto wamefanya mapenzi na mwanamke mkavu. Lazima utumie mate kama lubricant

Mbona unaniquote mara mbili, tulia ujibu taratibu, nimekuuliza data sio maneno maneno ya waziri. Unatuletea screenshot za maneno ya kwenye khanga. Jifunze kujadili mada kitaalam kama ulibahatika kuingia darasa la shule.
Tuletee hapa data zinazodhihirisha kwamba mtaburuza tani 10,000, kwa kifupi mtatumia locomotive na behewa zipi hizo zitakazovuta tani kiasi hicho kwenye gauge mnayosema mtatengeneza n.k. Mengine yote ni bla bla.
 
Leo asiyewasomesha wazazi amefanya ziara ya kustukiza pale bandarini na kupata vichwa vya treni ambavyo eti havina mwenyewe[emoji2] [emoji2]...hahaa waswahili mtaacha haya maigizo lini?
FB_IMG_1499016553030.jpg
 
Back
Top Bottom