Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora mkuu umeliona hilo. Moja inafanya kazi nyingine ni ndoto. Hivyo huwezi ukavilinganisha!Bora hata wao washaiona na kuanza kuitumia ya kwetu ipo kwny makaratasi mipicha picha tu
unazungumza kama mtoto wa darasa la kwanza...mwalimu amewapata wakipigana akawauliza shida nini, ukasema ni huyu alianza! nami na kwambia hata kama wakenya walianza ama watz imefika wakati wa kukoma upumbavu huu....hamna mahali itakupeleka...tz nchi maskini...kenya nchi maskini...tuwache kugombania mashilingi yetu machache tushindanie teknolojia kama ulivosema...Dude, hii vita mliianzisha nyie, especially wewe, hapo zamani kila siku ulikuwa unataka haya mambo! Habari za kutwambia eti ulienda quora umebadilika sio issue!
BTW hata hizo nchi za ulaya na marekani wanabishana kila siku, japokuwa wao ubishi wao sa hizi imeahamia kwenye teknolojia! Lakini wanabishana kweli kweli
Aisee povu la mwendokasi linawatoka waswahili dah!! hivyo acha niwaaandalien wadau picha murua kabisa toka kwa kina dada wetu, lineup ya kike ndani ya sgr baby[emoji2] [emoji109], wamagogoni azidi na ziara zake za kushtukizia tu hamna jinsi..View attachment 534173View attachment 534174View attachment 534175View attachment 534176 View attachment 534171
kumbe Elimu yenyu ni duni hivi
we wajua tafouti kati ya single stack na double stack ni nini ?
wajua tafouti kati ya bulk cargo na container cargo ?
Hii Inchi imejaa mazezeta unalinganisha kitu ambacho kipo na kitu hakipo. Kenya hawajakwambia kua wameishia hapo, ya TZ inafika Morogoro, wao watakua wameiongezea samani zaidi. Husishindane na Kenya Shindana na maendeo ya Watanzania. Ukishindana kenya ni sawa na kushinda na Masikini mwenzio
unazungumza kama mtoto wa darasa la kwanza...mwalimu amewapata wakipigana akawauliza shida nini, ukasema ni huyu alianza! nami na kwambia hata kama wakenya walianza ama watz imefika wakati wa kukoma upumbavu huu....hamna mahali itakupeleka...tz nchi maskini...kenya nchi maskini...tuwache kugombania mashilingi yetu machache tushindanie teknolojia kama ulivosema...
Huo mzigo unaoishia Morogoro unatoka wapi
M mwenyewe nawashangaa hawa wanaowacheka wakenya wakati wenzao saivi wanaisikia inakata mbuga tu cc tunaonyeshwa picha tu cjui tutapanda kwe izo picha toka moro to dsmBora mkuu umeliona hilo. Moja inafanya kazi nyingine ni ndoto. Hivyo huwezi ukavilinganisha!
Hivi wewe ulipozaliwa tu tayari ukawa na uwezo wa kutoa mbegu za kiume? Au ulipoanza darasa la kwanza tu ukafanya mtihani wa kumaliza darasa la saba? Kila jambo lina process yake hadi kufikia kukamilikaMbona hiyo video ya Rahco Millard Ayo huwa unaambia watu tuingie, kila nikiingia huwa naona ni stori stori tu. Jamaa wapo wanatolea maelezo maelezo mengiiii, tunataka kuona action/moshi sio hadithi. Mlituzungusha hivi kwenye bandari ya Bagamoyo, stori nyingi kwamba ndio ze ze largest port, hatimaye kimyaaaaa.
Sisi leo hii tunasafiri kwa SGR, kitu cha kuonekana kwa macho sio hizo ze ze ze zenu.
Kama swala hulijui haimaanishi halipo SGR project imeshaanza miezi miwili sasa constructor yupo siteKatafute wa kuwadanganya mliweka jiwe la msingi usanifu au kuanza ujenzi na zile pesa mlizomuomba zuma mmeshapewa
Unawashaangaje sasa? Kwani ndo mwanzo kwa hili taifa kujenga reli? TAZARA unaisemeaje nayo? Mi nakushangaa wewe kwa kutojiamini na kuiamini nchi yako.M mwenyewe nawashangaa hawa wanaowacheka wakenya wakati wenzao saivi wanaisikia inakata mbuga tu cc tunaonyeshwa picha tu cjui tutapanda kwe izo picha toka moro to dsm
Wewe bwanaee usitupangie cha kuongea hakuna aliyekuita hapa get lostHii Inchi imejaa mazezeta unalinganisha kitu ambacho kipo na kitu hakipo. Kenya hawajakwambia kua wameishia hapo, ya TZ inafika Morogoro, wao watakua wameiongezea samani zaidi. Husishindane na Kenya Shindana na maendeo ya Watanzania. Ukishindana kenya ni sawa na kushinda na Masikini mwenzio
Hahahaha this is unbelievable watu wamekosa chochote cha back fire now we are beating them hands down wanajifanya they want peace, no way uzi ni uleuleunazungumza kama mtoto wa darasa la kwanza...mwalimu amewapata wakipigana akawauliza shida nini, ukasema ni huyu alianza! nami na kwambia hata kama wakenya walianza ama watz imefika wakati wa kukoma upumbavu huu....hamna mahali itakupeleka...tz nchi maskini...kenya nchi maskini...tuwache kugombania mashilingi yetu machache tushindanie teknolojia kama ulivosema...
Aliyekuumba akupe ufahamu, pole sanaBora hata wao washaiona na kuanza kuitumia ya kwetu ipo kwny makaratasi mipicha picha tu