SGR ya Kenya inabeba tonne 4,000 wakati ya Tanzania itakuwa nauwezowa tonne 10,000 za mzigo.

SGR ya Kenya inabeba tonne 4,000 wakati ya Tanzania itakuwa nauwezowa tonne 10,000 za mzigo.

mifugo itafika Dar kwa wingi at once tutahitaji kiwanda kikubwa cha nyama hapa Dar na sio machinjio tena ya vingunguti
 
Hii Inchi imejaa mazezeta unalinganisha kitu ambacho kipo na kitu hakipo. Kenya hawajakwambia kua wameishia hapo, ya TZ inafika Morogoro, wao watakua wameiongezea samani zaidi. Husishindane na Kenya Shindana na maendeo ya Watanzania. Ukishindana kenya ni sawa na kushinda na Masikini mwenzio
 
Dude, hii vita mliianzisha nyie, especially wewe, hapo zamani kila siku ulikuwa unataka haya mambo! Habari za kutwambia eti ulienda quora umebadilika sio issue!

BTW hata hizo nchi za ulaya na marekani wanabishana kila siku, japokuwa wao ubishi wao sa hizi imeahamia kwenye teknolojia! Lakini wanabishana kweli kweli
unazungumza kama mtoto wa darasa la kwanza...mwalimu amewapata wakipigana akawauliza shida nini, ukasema ni huyu alianza! nami na kwambia hata kama wakenya walianza ama watz imefika wakati wa kukoma upumbavu huu....hamna mahali itakupeleka...tz nchi maskini...kenya nchi maskini...tuwache kugombania mashilingi yetu machache tushindanie teknolojia kama ulivosema...
 
Ukute hizo nguo walizo vaa tumetengeza sisi. Kwa sababu T-shirt za uzinduzi zilitoka Tanzania
98cd99aaac83ae6cd559f0287c813424.jpg
Aisee povu la mwendokasi linawatoka waswahili dah!! hivyo acha niwaaandalien wadau picha murua kabisa toka kwa kina dada wetu, lineup ya kike ndani ya sgr baby[emoji2] [emoji109], wamagogoni azidi na ziara zake za kushtukizia tu hamna jinsi..View attachment 534173View attachment 534174View attachment 534175View attachment 534176 View attachment 534171
 
Attachments

  • cf960460d00b979518676922f175b217.jpg
    cf960460d00b979518676922f175b217.jpg
    88.3 KB · Views: 20
Soma vuzuri article. Unazidi kujichanganya nakitu simple sana 10,000÷4,000=? Huyo ndo Uhuruto
kumbe Elimu yenyu ni duni hivi

we wajua tafouti kati ya single stack na double stack ni nini ?
wajua tafouti kati ya bulk cargo na container cargo ?
 
Hakuna maendeleo bila maumivu,wacha tuteseke tu watoto wetu waje kula bata,iliwachukua China zaidi ya miaka 60 kufikia maendeleo walionayo leo na wakati wakiwa kwenye ugumu dunia nzima ilikuwa inawacheka.
 
Wewe kenge kweli. Sisi tunaongelea uwezo wa reli kubeba tonne wewe unaongelea kujenga. Kwani ujenzi ukikamilika wote Kenya uwezo unaongezeka?? Usidandie thread bila kusoma content. Unasoma kichwa cha habari nakutoa povu.
Hii Inchi imejaa mazezeta unalinganisha kitu ambacho kipo na kitu hakipo. Kenya hawajakwambia kua wameishia hapo, ya TZ inafika Morogoro, wao watakua wameiongezea samani zaidi. Husishindane na Kenya Shindana na maendeo ya Watanzania. Ukishindana kenya ni sawa na kushinda na Masikini mwenzio
 
Tuongelee technology wakati mnashida ya mahindi na migomo ya manesi. Usitutoe ufahamu.
unazungumza kama mtoto wa darasa la kwanza...mwalimu amewapata wakipigana akawauliza shida nini, ukasema ni huyu alianza! nami na kwambia hata kama wakenya walianza ama watz imefika wakati wa kukoma upumbavu huu....hamna mahali itakupeleka...tz nchi maskini...kenya nchi maskini...tuwache kugombania mashilingi yetu machache tushindanie teknolojia kama ulivosema...
 
Ya Tz nitasadiki nikiyaona yamemalizika but as for now let me just say they are blowing hot air. 7years ago the likes of Geza ulole and his noisy counterparts were all over our necks, claimiming how Bagamoyo port(biggest white elephant) was to become Africa's largest Port. Nothing to show for it eons later and now we are being told the same Hekayas concerning the SGR.
Seriously we need to see action not rhetoric all over Kenyan news and politics section by our noisy neighbors.
Wekeni hapa complete projects si mambo ya nyimbo za "tuta" ambazo tumeziskiza miaka zaidi ya kumi. SGR ya Kenya ilianzishwa 2014 na nishafika Nairobi kuelekea Naivasha, where is Bagamoyo? Lamu port is under construction in fact dredging is ongoing with photos to prove the same.
Please do provide photographic evidence of Bagamoyo port construction, SGR construction and also Hoima Tanga pipeline construction otherwise STFU and learn from the best...Kenya.
 
Bora mkuu umeliona hilo. Moja inafanya kazi nyingine ni ndoto. Hivyo huwezi ukavilinganisha!
M mwenyewe nawashangaa hawa wanaowacheka wakenya wakati wenzao saivi wanaisikia inakata mbuga tu cc tunaonyeshwa picha tu cjui tutapanda kwe izo picha toka moro to dsm
 
Mbona hiyo video ya Rahco Millard Ayo huwa unaambia watu tuingie, kila nikiingia huwa naona ni stori stori tu. Jamaa wapo wanatolea maelezo maelezo mengiiii, tunataka kuona action/moshi sio hadithi. Mlituzungusha hivi kwenye bandari ya Bagamoyo, stori nyingi kwamba ndio ze ze largest port, hatimaye kimyaaaaa.

Sisi leo hii tunasafiri kwa SGR, kitu cha kuonekana kwa macho sio hizo ze ze ze zenu.
Hivi wewe ulipozaliwa tu tayari ukawa na uwezo wa kutoa mbegu za kiume? Au ulipoanza darasa la kwanza tu ukafanya mtihani wa kumaliza darasa la saba? Kila jambo lina process yake hadi kufikia kukamilika
 
Katafute wa kuwadanganya mliweka jiwe la msingi usanifu au kuanza ujenzi na zile pesa mlizomuomba zuma mmeshapewa
Kama swala hulijui haimaanishi halipo SGR project imeshaanza miezi miwili sasa constructor yupo site
 
M mwenyewe nawashangaa hawa wanaowacheka wakenya wakati wenzao saivi wanaisikia inakata mbuga tu cc tunaonyeshwa picha tu cjui tutapanda kwe izo picha toka moro to dsm
Unawashaangaje sasa? Kwani ndo mwanzo kwa hili taifa kujenga reli? TAZARA unaisemeaje nayo? Mi nakushangaa wewe kwa kutojiamini na kuiamini nchi yako.
 
Hii Inchi imejaa mazezeta unalinganisha kitu ambacho kipo na kitu hakipo. Kenya hawajakwambia kua wameishia hapo, ya TZ inafika Morogoro, wao watakua wameiongezea samani zaidi. Husishindane na Kenya Shindana na maendeo ya Watanzania. Ukishindana kenya ni sawa na kushinda na Masikini mwenzio
Wewe bwanaee usitupangie cha kuongea hakuna aliyekuita hapa get lost
 
unazungumza kama mtoto wa darasa la kwanza...mwalimu amewapata wakipigana akawauliza shida nini, ukasema ni huyu alianza! nami na kwambia hata kama wakenya walianza ama watz imefika wakati wa kukoma upumbavu huu....hamna mahali itakupeleka...tz nchi maskini...kenya nchi maskini...tuwache kugombania mashilingi yetu machache tushindanie teknolojia kama ulivosema...
Hahahaha this is unbelievable watu wamekosa chochote cha back fire now we are beating them hands down wanajifanya they want peace, no way uzi ni uleule
 
Back
Top Bottom