Kwa sasa Mwanza, Geita kunaviwanda vya nyama na ngozi vinajengwa. Kasi ya maendeleo si mchezo. Magufuli hatari sana. Anajua sehemu za kugusa na namna ilikukuza uchumiKama ni hivyo tushukuru mungu ?mzigo huo ni mkubwa.
Lakini inabidi tuongeze nguvu ktk uzalishaji.
1.Wakulima waelimishwe na wapewe sehemu za kulima si kuacha walime ili roho mbaya waeafyekee mazao yao.
2.Kilimo cha umwagiliaji kitiliwe mkazo.
3.Wafugaji wapewe sehemu za kufugia si kupendelea minyama pori.
4. Wanyama wafugwao wapewe mapori ya malisho.Si kuwambia wafugaji wapunguze mifugo.
5.Wiwanda vijengwe mikoani kwenye malighafi.
6. Mwanza au Shinyanga kijengwe kiwanda cha kusindika nyama.
7. Hata pesa ya kujenga airport ingejenga kiwana cha kusindika nyama Geita.
YOTE HAYA NI KUFANYA TRENI IKIPELEKA MIZIGO MIKOANI ISIRUDI TUPU.
LOAD IWE TWO WAY SIYO ONE WAY DENSITY.
PAWEPO RETURN CARCO. HAPO Tutasifu uwezo wa tani 10,000.
Kinyume tuaifanyisha under capacity.
Litakuwa na uwezo usio tumika.
Kilimo na ufugaji utukomboe
Wew ni wa ajabu sanaBora hata wao washaiona na kuanza kuitumia ya kwetu ipo kwny makaratasi mipicha picha tu
Muulize lissu mtu wa ajabu tanzania hii ni nani?akikujibu ni mm ntakutafutia zawadi nonoWew ni wa ajabu sana
Unauwakika?? Mbona unaleta sasa kwakila jambo. Mimi mwenyewe mpinzani kakini kwahili nampongeza sana raisi. Ujenzi umesha anza. Ingia You tube andika RAHCO Millard Ago. Utajionea. Achana na siasa.Bora hata wao washaiona na kuanza kuitumia ya kwetu ipo kwny makaratasi mipicha picha tu
Ukweli tupu huu, na kwa kuongezea tu, ni sera ya Mkoa kila wilaya kuwa na kiwanda cha kuzalisha bidhaa yake kuu.SIMIYU kuna viwanda vikubwa vitatu mpk sasa
Kiwanda cha chaki kimeanza kujengwa zaid ya 1.5 blns zimetolewa mpk sasa.
Kiwanda cha kusindika maziwa wilaya ya meatu na Kusindika nyanya na pilipili kule Busega feasibility study inaendelea kufanyika
Kuna mpango w kujenga kiwanda cha Sabuni Itilima na kiwanda kikubwa cha Pamba, kwa ajili ya vifaa tiba na nyuzi.
Kwa Pamoja tunaliendeleza Taifa letu.
kwa sasa atupo mwenye siasa. Subilia kipindi cha sasa.Muulize lissu mtu wa ajabu tanzania hii ni nani?akikujibu ni mm ntakutafutia zawadi nono
Viwanda vinajengwa kama Njugu kila konaSIMIYU kuna viwanda vikubwa vitatu mpk sasa
Kiwanda cha chaki kimeanza kujengwa zaid ya 1.5 blns zimetolewa mpk sasa.
Kiwanda cha kusindika maziwa wilaya ya meatu na Kusindika nyanya na pilipili kule Busega feasibility study inaendelea kufanyika
Kuna mpango w kujenga kiwanda cha Sabuni Itilima na kiwanda kikubwa cha Pamba, kwa ajili ya vifaa tiba na nyuzi.
Kwa Pamoja tunaliendeleza Taifa letu.
Unauwakika?? Mbona unaleta sasa kwakila jambo. Mimi mwenyewe mpinzani kakini kwahili nampongeza sana raisi. Ujenzi umesha anza. Ingia You tube andika RAHCO Millard Ago. Utajionea. Achana na siasa.
Mbona hiyo video ya Rahco Millard Ayo huwa unaambia watu tuingie, kila nikiingia huwa naona ni stori stori tu. Jamaa wapo wanatolea maelezo maelezo mengiiii, tunataka kuona action/moshi sio hadithi. Mlituzungusha hivi kwenye bandari ya Bagamoyo, stori nyingi kwamba ndio ze ze largest port, hatimaye kimyaaaaa.
Sisi leo hii tunasafiri kwa SGR, kitu cha kuonekana kwa macho sio hizo ze ze ze zenu.
Nacho jua tumewashika pabaya sana. Hiyo omo unayotoa sio bure 10,000 divide by 4,000 What do you get?? Hahaaa Mchina mbaya sana. Lazima mtutafute kwa torch.
Nacho jua tumewashika pabaya sana. Hiyo omo unayotoa sio bure 10,000 divide by 4,000 What do you get?? Hahaaa Mchina mbaya sana. Lazima mtutafute kwa torch.
54 double stack flat wagons carrying 216 TEUsSGR ya Kenya inauwezo wakubeba tonne 4,000 wakati ya Tanzania itakuwa na uwezo wakube tonne10,000 za mzigo kwa wakati mmoja ambayo ni zaidi ya mala mbili ya SGR ya Kenya. Hili swala nilikuwa sijawahi lichunguza. Kiukweli Magufuli anastahili pongezi. Wachina sio watu wazuri kwa Kenya. Inamaana mfumo wa SGR(Tuta) ya Tanzania itakuwa na uwezo mkubwa zaidi wakubeba mzigo.View attachment 533891View attachment 533892