MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Mnakumbuka shuka kukiwa kumekucha...Sisi ya kwetu itakuwa Elevated mwanzo mwisho🤣🤣🤣Magufuli Baba Lao🤣🤣🤣👇👇👇View attachment 1504826View attachment 1504827View attachment 1504828
Jamaa ukibanwa kwa hoja huwa unatoweka miezi kadhaa kisha unaibuka, sasa hizi ndio nini maana nikiweka humu plans tulizonzao nahisi utatoweka tena na kuja baada ya miaka kumi.