Sh 5,000 inaweza kabisa kunitoa kimaisha!

Wajasiriamali wa tz hawataendelea mpaka wabadilishe mindsets. La sivyo umaskini utaendelea tu. Kila kijana siku hizi nikimuuliza ni kwa nini unakaa tu kijiweni huna biashara anakwambia kama ningepata milioni 50 ningeanzisha biashara safi kabisa. Baada ya miezi kadhaa niende pale toyota tanzania nivute toyota land cruiser! Tunaishi katika material world kila mtu anataka vitu vya kifahari wakati hawana hela. Matajiri karibu wote duniani walianza from scratch na kupanda juu, Bill Gates, Mark Zakabegi, Reginald Mengi, Joseph Mfugale wa peacock, n.k. Swala jingine vijana wanakwambia eti nikianza na mtaji mdogo itachukua muda kuwa tajiri, sasa wewe tokea ukiwa na miaka 20 unasubiria hiyo milioni 50 na leo una miaka 30 bado hujaipata umekaa kijiweni unaisubiria, miaka yote hiyo kumi kama ungeanza kidogo si ungekuwa tajiri tayari sasa! Tatizo jingine vijana wanasema kama akianza na biashara ya kuuza juice anaogopa watu watamcheka, sasa wewe ukiogopa kuanzisha hiyo biashara ya juisi na kukaa kijiweni, hao watakaokucheka kwani wanakupaga hela ya kujikimu kimaisha mpaka uogope kuchekwa nao?? Watanzania tuache visingizio la sivyo tutaendelea kuwa maskini.

Hakuna mzungu, mchina, mhindi wala mtu yeyote atakayekuja na kukuboreshea maisha yako zaidi ya wewe mwenyewe. Kusubiria serikali ikufanyie mambo, utasubiri milele na milele. Wengine wanasema vijana hawawi matajiri kwa sababu ya ufisadi! Mimi sitetei ufisadi but ktk kila nchi duniani ufisadi upo hata china ambako wanaua watuhumiwa wa ufisadi, bado ufisadi unaendelea tu. Mimi naishi finland ambako ni nchi kila mwananchi ana maisha poa sana but bado kuna ufisadi pia. Ishu si ufisadi ila ni wewe mwenyewe kutumia fursa ulizonazo zikunufaishe. Tuache visingizio jamani. We uko radhi utumie laki moja kula nyama choma na bia badala ya kuanzisha kibanda kidogo cha juisi. Kama unaogopa kuuza wewe mwenyewe, weka kijana akuuzie hizo juisi basi.
 
Use what you get to get what you want. It can be done, play your part
 
Naona Vipofu Mnaongozana kuvuka Barabara!
Hapo Bado Hujasolv Tatizo La Barafu,
Vitendea Kazi
Mgambo
n.k
Sio Rahis Kama Mnavyozani
 
Kuna mtu amependekeza kuanza biashara kwa sh 5000, kama kawaida waungawana humu jf wamedai apeleke huo uzi wake joke forum. Lakini mie nna mtazamo tofauti hapa. Kwamba bado hiyo elfu tano inaweza kukutoa kabisa kama kweli uko serious. kwa namna gani inaweza kukutoa, hebu fuatilia hapa chini:

Nimeamua kufanya biashara ya kuuza juisi ya matunda.

Mananasi 2 sh 2000
Parachichi 2, sh 1500
Sukari robo 1000
Jumla 4,500

Baada ya kuitengeneza zitatoka walau lita tano, ambazo kwa kiwango cha chini, ntapata jumla ya glass zisizopungua 15. Kwa bei ya gsh 500 kwa glass moja, ikiisha ntapata jumla ya sh 7500.

Kumbuka hapo nimemaliza chuo, bado mie ni mtu wa kula kulala-yaani nakaa geto. Nimeshatengeneza faida ya shi 3000, kwa siku. Hii ina maana kama ni ajira basi nalipwa 90,000 kwa mwezi. Hivi ntalala njaa kweli nikiamua kuwa serious na hii bishara?

Hivi kwa hesabu ndogo kama hii, kuna haja kweli ya mtu kulia njaa jamani. Mi nadhani kinachotusumbua wengi ni kale katabia kwamba hiyo kazi ni ya kufanywa na mtu ambaye hana shule, lakini hela haina shule, na sioni kama hapo kuna kudhalilika kwa aina yeyote. Jamani, let us start from the scratch kama hatuna mbadala wa aina yeyote ktk ajira zetu.

Tanzania hii kila kitu kinawezekana, sio ufisadi pekee tu!

ndyoko huo ni uwongo
sukari robo kwa lita 5???hata ukitumia kk(kimoja kimoja)haikolei
 
Last edited by a moderator:
Habari watanzania wenzangu nimependa mada hii mtu kuwa bilionea kwa Tsh/5000 huu ni ujinga usio fikirika ningependa niwafumbue macho ndugu zangu .
NILIVYOJIUNGA NA FREEMASON NA KUIBUKA BILIONEA!
Hii ni siri niliyoapa katika maisha yangu nisingeitoa kwa mtu yoyote,hata mchumba wangu tunayelala kitanda kimoja kila siku akujua imani yangu na mambo ya ajabu niliyoyafanya muda mchache nilipo tengana naye.Alichojua mimi ni mfanyabiashara maarufu jijini Dar es salam,ingawa nyuma ya pazia nilikuwa mtumishi wa freemason.
Jina langu naitwa Michael peter Mabiranga! Natokea wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro,Kabila langu ni Mpare wa chome Nasema chome kwasababu ndipo chimbuko la kizazi cha mababu zetu.lakini nimekulia hedaru ambapo nikiishi na Bibi yangu mzee Mabiranga.Wazazi wangu walifaliki miaka kumi na tano iliyopita kwa ajari ya gari mjini moshi nilisikitikika sana kuwakosa wazazi wangu wao ndio walikuwa tegemezi la maisha yangu.Nitaendelea wiki ijayo na mkasa wangu jinsi freemason ilivyo niweka juu 0716 490606 ..
 
Mkuu ingekuwa busara ukifungua thread yako
 
Mananasi 2 sh 2000
Parachichi 2, sh 1500
Sukari robo 1000
Jumla 4,500

Naomba ufafanuzi kwa haya yafuatayo;
1:Ushanunua glass za kunywea hiyo juice?
2:Una vifaa vya kuhifadhia juice yako? Eg Ndoo
3:Juice inahitaji kuwa baridi,una friji au utapata wapi mabarafu?
HII NI BIASHARA NZURI ILA SI KWA MTAJI HUO
 
Kakuambia hii biashara ni ya wale kula - kulala. vifaa vyote anachukua/ anategemea hapo nyumbani anapoishi.
 
Kuna mtu amependekeza kuanza biashara kwa sh 5000, kama kawaida waungawana humu jf wamedai apeleke huo uzi wake joke forum. Lakini mie nna mtazamo tofauti hapa. Kwamba bado hiyo elfu tano inaweza kukutoa kabisa kama kweli uko serious. kwa namna gani inaweza kukutoa, hebu fuatilia hapa chini:

Nimeamua kufanya biashara ya kuuza juisi ya matunda.

Mananasi 2 sh 2000
Parachichi 2, sh 1500
Sukari robo 1000
Jumla 4,500

Baada ya kuitengeneza zitatoka walau lita tano, ambazo kwa kiwango cha chini, ntapata jumla ya glass zisizopungua 15. Kwa bei ya gsh 500 kwa glass moja, ikiisha ntapata jumla ya sh 7500.

Kumbuka hapo nimemaliza chuo, bado mie ni mtu wa kula kulala-yaani nakaa geto. Nimeshatengeneza faida ya shi 3000, kwa siku. Hii ina maana kama ni ajira basi nalipwa 90,000 kwa mwezi. Hivi ntalala njaa kweli nikiamua kuwa serious na hii bishara?

Hivi kwa hesabu ndogo kama hii, kuna haja kweli ya mtu kulia njaa jamani. Mi nadhani kinachotusumbua wengi ni kale katabia kwamba hiyo kazi ni ya kufanywa na mtu ambaye hana shule, lakini hela haina shule, na sioni kama hapo kuna kudhalilika kwa aina yeyote. Jamani, let us start from the scratch kama hatuna mbadala wa aina yeyote ktk ajira zetu.

Tanzania hii kila kitu kinawezekana, sio ufisadi pekee tu!

Mimi nakubali elfu 5 ni mtaji tosha na uthibitisho upo kwangu mwenyewe, ilikua hivi;
Nilitoka kwetu mtwara, nilikuja dar kwa interview ambayo sikufanikiwa, nauli ya kurud kwetu haitoshi hata kidogo na naishi geto kwa rafiki yangu..
Siku nimeamka nikichek balance mfukoni iko tsh elfu 7, nkakuna kichwa ndipo nikapata wazo la kuigawanya ile 7000 na nikaitenga 3500 ikawa ni ya emergence. nyingine 3500 nikawa najiuliza nifanye nini, wakati naelekea kumsalimia rafikiangu mwingine tu nikiwa njiani nilikuta mnada wa nguo na kunashat mzur inauzwa elfu 2,nilijikuta nanyosha mkono nikainunua.
Kumbuka hapo nimebakiza 1500 acha ile ya emergency... nikafika kwa rafiki ,mungu sio juma jamaa kalipenda ikabid nifanye naye biashara japo halikua lengo basi nikamuuzia elf 5 ,kwa faida ile ndipo nikapata wazo la kufanya bia shara hiyo.
Ilikua nisha pata 6500 siku ilofuata nikajivutia pale kwenye mnada na nikachukua mashati matatu 1@ 2000 nikabak na 500 mfukoni nikazunguka mtaa nikapata 12000 hivyo faida ni 6000 na nikaongeza wigo wa biashara ikawa ndani ya wiki mbili nimemake 45000.

Pia ilitokea siku kunasehem ambayo nilikua nakula hapo (mamantilie) mhusika wa pale nilimzoea sana ikawa anataka kusafiri akaniomba kama ninayo pesa ya mtaj aniachie ile sehem had atakapo rudi na aliniambia mtaji ni 50000 inaweza kutosha.
Baada ya mda nilifanikiwa kucover ile sehem na nikawa namake 8000 hadi 12000 kwa siku. Baada ya mda nikapanga chumba na naishi mwenyewe sasa japo sijajiponga kwa sana ila shida ndogo ndogo kwangu no.

Kwahiyo 5000 ni kubwa sana kwani mi nimepata afadhar kwa 2000 tu.
 
Habari watanzania wenzangu nimependa mada hii mtu kuwa bilionea kwa Tsh/5000 huu ni ujinga usio fikirika ningependa niwafumbue macho ndugu zangu .
NILIVYOJIUNGA NA FREEMASON NA KUIBUKA BILIONEA!
Hii ni siri niliyoapa katika maisha yangu nisingeitoa kwa mtu yoyote,hata mchumba wangu tunayelala kitanda kimoja kila siku akujua imani yangu na mambo ya ajabu niliyoyafanya muda mchache nilipo tengana naye.Alichojua mimi ni mfanyabiashara maarufu jijini Dar es salam,ingawa nyuma ya pazia nilikuwa mtumishi wa freemason.
Jina langu naitwa Michael peter Mabiranga! Natokea wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro,Kabila langu ni Mpare wa chome Nasema chome kwasababu ndipo chimbuko la kizazi cha mababu zetu.lakini nimekulia hedaru ambapo nikiishi na Bibi yangu mzee Mabiranga.Wazazi wangu walifaliki miaka kumi na tano iliyopita kwa ajari ya gari mjini moshi nilisikitikika sana kuwakosa wazazi wangu wao ndio walikuwa tegemezi la maisha yangu.Nitaendelea wiki ijayo na mkasa wangu jinsi freemason ilivyo niweka juu 0716 490606 ..

Unazingua jamaa
 
user-offline.png
zomba

15th February 2012 00:02
#51
JF Senior Expert MemberArray

Join Date : 27th November 2007
Posts : 16,964
Rep Power : 11151
Likes Received3282
Likes Given2363

[h=2]
icon1.png
Re: Sh 5,000 inaweza kabisa kunitoa kimaisha![/h]
Unaweza kabisa, mimi nilianza kuuza juisi ya miwa bila hata senti tano, kila kitu nilikopa. Hata nauli ya kwenda kuchukulia mashine niliyoikopa niliikopa. Sasa mambo swafi kabisa, nyumba kibao. watoto wanasoma akademi, ma hg wakiomba 200 nawapa buku 10.

Na huyu anasema
quote_icon.png
By Ribosome
Unaweza kabisa, mimi nilianza kuuza juisi ya miwa bila hata senti tano, kila kitu nilikopa. Hata nauli ya kwenda kuchukulia mashine niliyoikopa niliikopa. Sasa mambo swafi kabisa, nyumba kibao. watoto wanasoma akademi, ma hg wakiomba 200 nawapa buku 10.

huyu ni mtu mmoja mwenye id mbili tofauti?

user-offline.png
abdulazizi mnola

Yesterday 07:59
#91
Junior MemberArray

Join Date : 24th November 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given10

[h=2]
icon1.png
Re: Sh 5,000 inaweza kabisa kunitoa kimaisha![/h]

quote_icon.png
By SHAFII ABDALLAH
Habari watanzania wenzangu nimependa mada hii mtu kuwa bilionea kwa Tsh/5000 huu ni ujinga usio fikirika ningependa niwafumbue macho ndugu zangu .
NILIVYOJIUNGA NA FREEMASON NA KUIBUKA BILIONEA!
Hii ni siri niliyoapa katika maisha yangu nisingeitoa kwa mtu yoyote,hata mchumba wangu tunayelala kitanda kimoja kila siku akujua imani yangu na mambo ya ajabu niliyoyafanya muda mchache nilipo tengana naye.Alichojua mimi ni mfanyabiashara maarufu jijini Dar es salam,ingawa nyuma ya pazia nilikuwa mtumishi wa freemason.
Jina langu naitwa Michael peter Mabiranga! Natokea wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro,Kabila langu ni Mpare wa chome Nasema chome kwasababu ndipo chimbuko la kizazi cha mababu zetu.lakini nimekulia hedaru ambapo nikiishi na Bibi yangu mzee Mabiranga.Wazazi wangu walifaliki miaka kumi na tano iliyopita kwa ajari ya gari mjini moshi nilisikitikika sana kuwakosa wazazi wangu wao ndio walikuwa tegemezi la maisha yangu.Nitaendelea wiki ijayo na mkasa wangu jinsi freemason ilivyo niweka juu 0716 490606 ..

Unazingua jamaa​

Dah! JF kweli ni the place to be always
 
Mimi nakubali elfu 5 ni mtaji tosha na uthibitisho upo kwangu mwenyewe, ilikua hivi;
Nilitoka kwetu mtwara, nilikuja dar kwa interview ambayo sikufanikiwa, nauli ya kurud kwetu haitoshi hata kidogo na naishi geto kwa rafiki yangu..
Siku nimeamka nikichek balance mfukoni iko tsh elfu 7, nkakuna kichwa ndipo nikapata wazo la kuigawanya ile 7000 na nikaitenga 3500 ikawa ni ya emergence. nyingine 3500 nikawa najiuliza nifanye nini, wakati naelekea kumsalimia rafikiangu mwingine tu nikiwa njiani nilikuta mnada wa nguo na kunashat mzur inauzwa elfu 2,nilijikuta nanyosha mkono nikainunua.
Kumbuka hapo nimebakiza 1500 acha ile ya emergency... nikafika kwa rafiki ,mungu sio juma jamaa kalipenda ikabid nifanye naye biashara japo halikua lengo basi nikamuuzia elf 5 ,kwa faida ile ndipo nikapata wazo la kufanya bia shara hiyo.
Ilikua nisha pata 6500 siku ilofuata nikajivutia pale kwenye mnada na nikachukua mashati matatu 1@ 2000 nikabak na 500 mfukoni nikazunguka mtaa nikapata 12000 hivyo faida ni 6000 na nikaongeza wigo wa biashara ikawa ndani ya wiki mbili nimemake 45000.

Pia ilitokea siku kunasehem ambayo nilikua nakula hapo (mamantilie) mhusika wa pale nilimzoea sana ikawa anataka kusafiri akaniomba kama ninayo pesa ya mtaj aniachie ile sehem had atakapo rudi na aliniambia mtaji ni 50000 inaweza kutosha.
Baada ya mda nilifanikiwa kucover ile sehem na nikawa namake 8000 hadi 12000 kwa siku. Baada ya mda nikapanga chumba na naishi mwenyewe sasa japo sijajiponga kwa sana ila shida ndogo ndogo kwangu no.

Kwahiyo 5000 ni kubwa sana kwani mi nimepata afadhar kwa 2000 tu.

Asante kaka, wapumbav wa humu wenye kutoka vyuo vya kata wvisivyofundisha elimu ya kujitegemea hawajui kuwa pesa si mtaji, mtaji ni WATU, WAZO, NIA na UTHUBUTU! Graduate wa sasa hivi anatoka chuo tayari ana picha ya gari kichwani wakati hata kazi hajapata, anawaza kula bata ukimwambia elfu tano ni mtaji wakati yeye anaona haitoshi hata kulipia chumba cha guest hakuelewi, ni UJINGA! Na ni bora waendelee kuwa wajinga namna hiyo, maana wakizinduka wataongeza competition mtaani! Wengine hatuna hata wazo la kuajiriwa wala kutafuta masters...laptop tu na moderm ndiyo bosi mwenyewe!
 
user-offline.png
abdulazizi mnola

Yesterday 07:59
#91

Junior MemberArray

Join Date : 24th November 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given10

icon1.png
Re: Sh 5,000 inaweza kabisa kunitoa kimaisha!

quote_icon.png
By SHAFII ABDALLAH
Habari watanzania wenzangu nimependa mada hii mtu kuwa bilionea kwa Tsh/5000 huu ni ujinga usio fikirika ningependa niwafumbue macho ndugu zangu .
NILIVYOJIUNGA NA FREEMASON NA KUIBUKA BILIONEA!
Hii ni siri niliyoapa katika maisha yangu nisingeitoa kwa mtu yoyote,hata mchumba wangu tunayelala kitanda kimoja kila siku akujua imani yangu na mambo ya ajabu niliyoyafanya muda mchache nilipo tengana naye.Alichojua mimi ni mfanyabiashara maarufu jijini Dar es salam,ingawa nyuma ya pazia nilikuwa mtumishi wa freemason.
Jina langu naitwa Michael peter Mabiranga! Natokea wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro,Kabila langu ni Mpare wa chome Nasema chome kwasababu ndipo chimbuko la kizazi cha mababu zetu.lakini nimekulia hedaru ambapo nikiishi na Bibi yangu mzee Mabiranga.Wazazi wangu walifaliki miaka kumi na tano iliyopita kwa ajari ya gari mjini moshi nilisikitikika sana kuwakosa wazazi wangu wao ndio walikuwa tegemezi la maisha yangu.Nitaendelea wiki ijayo na mkasa wangu jinsi freemason ilivyo niweka juu 0716 490606 ..

Unazingua jamaa​

Dah! JF kweli ni the place to be always

Hahahaa, naona SHAFII ABDALLAH amekufurahisha sana na stori zake za freemason, nilishawahi kuwaza kuwa hizi stori za freemason kwa mjanja wa mjini zinaweza kuwa mtaji tosha, kwa maana mimi nilishauliziwa na watu wasiopungua watatu fomu za kujiunga! Hahahaa, kila mtu sku hizi freemason, lakini ukimuuliza freemason ni nini na historia yake ikoje hajui hata kimoja, sasa wewe haujui basics za freemason wewe ni freemason gani!!!:A S-confused1:
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wanaanza na biashara na msingi wa TZS 3,600 nanguvu zao. Ndio shillingi elfu tatu na mia sita tuu.

Nazo huanza kwa kununua pakti mbili za sigara, moja ya portsman na moja ya sm, jumla ya sigara 40, akishanunua anatembeza mitaani kwa TZS 150 kwa sigara moja kwa siku anaweza kumaliza mara mbili yaani 40 X 2=80 X150=12,000 - 7,200 = 4,800 faida ya siku.

Mtaji mara nyingi huwa ni mtu si fedha.

Nakubaliana na mleta mada kuwa unaweza kuanza na mtaji wa 5,000 bila wasi wasi.

Kuna watu wanaanza bila senti 1. hususan wale walio nje ya miji, huenda kuchuma majani ya kusukia vikapu na yao ni nguvu tu hawahitaji senti moja kuanza.

Anaeshindwa kuanza na mradi wa 5,000 hata ukimpa million 5 atashindwa.
 
Hahahaa, naona SHAFII ABDALLAH amekufurahisha sana na stori zake za freemason, nilishawahi kuwaza kuwa hizi stori za freemason kwa mjanja wa mjini zinaweza kuwa mtaji tosha, kwa maana mimi nilishauliziwa na watu wasiopungua watatu fomu za kujiunga! Hahahaa, kila mtu sku hizi freemason, lakini ukimuuliza freemason ni nini na historia yake ikoje hajui hata kimoja, sasa wewe haujui basics za freemason wewe ni freemason gani!!!:A S-confused1:

Umaskini mkuu unwatesa watz. Kote huko ni kuhangaika na hili gonjwa la umaskini
 
Siwezi kukupinga sana ila angalia soko maana kila shilingi inaweza anzisha biashra,let say umeanza na shilingi elfu tano,unataka anzisha biashara ya juice haiwezekani kwani inahitajika uwe friji sasa utainunua vp na kama ipo nyumbani huwezi kuwa huru kuitumia ipo siku mshua atagomba tu
 
Asante kaka, wapumbav wa humu wenye kutoka vyuo vya kata wvisivyofundisha elimu ya kujitegemea hawajui kuwa pesa si mtaji, mtaji ni WATU, WAZO, NIA na UTHUBUTU! Graduate wa sasa hivi anatoka chuo tayari ana picha ya gari kichwani wakati hata kazi hajapata, anawaza kula bata ukimwambia elfu tano ni mtaji wakati yeye anaona haitoshi hata kulipia chumba cha guest hakuelewi, ni UJINGA! Na ni bora waendelee kuwa wajinga namna hiyo, maana wakizinduka wataongeza competition mtaani! Wengine hatuna hata wazo la kuajiriwa wala kutafuta masters...laptop tu na moderm ndiyo bosi mwenyewe!

Kheri ya mwaka mpya umesema ukweli
 
5000 ni nyingi sana,ukiamua kuanza biashara ya maji ya viroba,
 
Back
Top Bottom