“Sh200 Kidogo, Mamilioni Makubwa! KEWOTA Yatikiswa na ‘Payroll Heist’ ya Walimu 95,000

“Sh200 Kidogo, Mamilioni Makubwa! KEWOTA Yatikiswa na ‘Payroll Heist’ ya Walimu 95,000

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Kuna mambo imeanza kunuka kwa Kenya Women Teachers Association (KEWOTA) baada ya kufichuliwa sakata kubwa ya pesa. Inadaiwa zaidi ya walimu wanawake 95,000 walikuwa wanakatwa Sh200 kila mwezi bila consent yao – sasa ukifanya hesabu, hiyo ni over Sh228 million yearly!

Investigations zinaonyesha hii inaweza kuwa sio tu makosa ya kawaida, bali ni full “payroll heist” yenye inaingia hadi allegations za money laundering. Watu wanauliza: hii pesa yote ilikuwa inaenda wapi?

Cha kushangaza zaidi, CEO Benter Opande anatajwa kuajiri family yake karibu yote ndani ya KEWOTA – watoto wake wanne, ndugu, na hadi ex-husband. Pia inasemekana relatives wa treasurer Jacinta Ndegwa wako kwa payroll wakichukua salaries nono.

Whistleblower mmoja alifungua Pandora’s box akisema KEWOTA ilifanya fake membership drives na hata kuunda majina fake (71 fictitious members ). Zaidi, kuna madai ya ku-bribe Kenya Revenue Authority officials ili investigations zisongeshwe mbele.

Hii scandal pia imehusisha Teachers Service Commission (TSC), ambapo kuna claims kwamba baadhi ya officials wali-collude kuhakikisha deductions zinaendelea na walimu hawawezi exit KEWOTA.

Kwa sasa, TSC wameitisha board meeting kuamua fate ya KEWOTA. Lakini KEWOTA wao bado wanajitetea wakisema finances zao ziko clean.

Swali kubwa kwa Wakenya:

Walimu wanalindwa kweli ama wanatumika kama cash cow?

SOURCE: KTN
 
Back
Top Bottom