Former Deputy President Rigathi Gachagua amedai Rais William Ruto anatumia safari yake ya Marekani, ambako anahudhuria UN General Assembly, kukamilisha agreement na kampuni ya Marekani kuhusu uchimbaji wa niobium na rare-earth minerals za Mrima Hill, Kwale.
Gachagua amekadiria deposits hizo kuwa na thamani ya karibu Sh8.2 trillion, na kudai deal inaweza kuwanufaisha foreign interests kuliko wananchi wa Kwale. Hajatoa documentary evidence kuthibitisha madai kwamba Ruto binafsi atanufaika au kwamba agreement hiyo itasainiwa katika safari hii.
Lakini interest ya Marekani kwenye Mrima Hill si jambo la kubuniwa.
Mapema Septemba, US officials walisema Washington inataka kushirikiana na Kenya katika development ya critical minerals, ikiwemo Mrima Hill, na wakasema American firms zinalenga local processing, factories, technology transfer na jobs badala ya kuchimba na kusafirisha raw minerals pekee.
Serikali pia tayari iliweka Mrima Hill Niobium, Rare Earth Elements and Other Minerals Development Project kwenye public tender process mwaka huu. Official documents zinasema mineral rights zinapaswa kutolewa kupitia competitive tender chini ya Mining Act.
Hata hivyo, Mining CS Hassan Joho amesema hadi sasa hakuna mining licence iliyotolewa kwa Mrima Hill.
Na project tayari iko kortini.
Centre for Litigation Trust ilifungua petition Juni ikitaka proposed Kenya-US arrangement isimamishwe hadi kuwe na public participation, parliamentary scrutiny na involvement ya Kwale County na local communities.
Kwa hiyo swali sasa si tu kama Marekani ina interest—interest hiyo tayari iko public.
Maswali muhimu ni:
Ni kampuni gani zina-bid? Kenya itabaki na asilimia gani ya value? Ni kiasi gani kitaenda Kwale? Minerals zitaprocessiwa Kenya au ku-exportiwa raw? Na kama kuna deal inayokaribia kusainiwa, kwa nini terms zake zisiwe public kabla signature kuwekwa?