Shaa, Langa na Witness walipendelewa Coca Cola Pop Star ila mimi Masqo(Deo Kisandu) nikaachwa

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
shaa 2..jpg

SEVEN na SALAMA JABIR WALINIBANIA USHINDI WANGU WA COCA COLA POP STAR MWAKA 2004 NA KUWAPA SHAA,LANGA na WITNESS LAKINI DUDUBAYA ALINIACHA HOI.

Mashindano ya East Africa Coca Cola Pop Star yaliyofanyika Dar es Salaam mwaka 2004 Mwenge, Mimi Deogratius Kisandu kwa jina la kisanii "Masqo" nilikuwa mshiriki wa mashindano hayo na wakati huo tayari nilikuwa na Tract yangu "Nimepata demu" ikiendelea kupata promo.

Majaji walikuwa ni watangazaji wa East Africa Radio Madam SEVEN na SALAMA JABIR.
Washiriki tulikuwa wengi sana wakiwemo wale Soul 'N' Faith, mimi ilipofika zamu yangu niliwahi ukumbini na kundi langu nikaimba wimbo wangu nilioandaa, kama kawaida ya Salama akacheka tu kwa chini SEVEN akamwambia huyu si ndo Masqo mwenye wimbo Nimepata Demu? wakanong'onezana kisha wakanambia unaweza kwenda ila kafanye mazoezi tena.
Ilikuwa ukisha maliza kuimba hurudii tena, mimi nikajifikira yaani nimeimba vizuri halafu nikafanye mazoezi tena,

nikaona hapana nikaenda kuchukua Coupon upya nikapanga foleni tena. Nikasikia wambeya wanamwambia Salama na Seven kuwa Deo Kisandu anarudia tena lakini hakujali, basi ikafika zamu yangu tena, waliponiona walicheka halafu Seven akamwambia salama huyu si amejirudia tena, Salama akasema hebu tumuache ajaribu tena ila hatumuchukui maana tayari ana wimbo una unapigwa radioni. Basi nikaimba tena wakanambia umeimba vizuri kasubiri majibu.

Baada ya Usahili wa wote tulikaa nje huku tunapata Burudani ya Mziki kutoka kwa Bwana Misosi na baada ya kutangaziwa sikusikia jina langu kabisa tukasikia tu Sarah (kwasasa Shaa), Langa na Witness na wengine nimewasahau ambao walienda Top 5 kama sijakosea.
Mziki ni uvumilivu na subira na kujipanga upya mara kwa mara lakini tamasha hili nilitakiwa kushinda kabisa maana niliimba Vizuri mno, lakini Seven na salama walibana.

DUDUBAYA.

Siku hiyo hiyo tullitoka na mshikaji wangu mmoja tukaenda Bongo Record kwa PFunk ili tukapate Lebel lakini tulipofika kwa PFunk ofisini hatukupata nafasi ya kumuona PFunk, tuliondoka zetu mpaka kwa Dudubaya tukamkuta kwake (Sinza) akatukaribisha tukakaa na kupiga stori na kumweleza adhima yetu, lakini hata yeye alikuwa juu ya mawe tu kama sisi hivyo hakuonesha hata nia ya kutusaidia kimtindo mpaka tunaondoka.

DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.
16 Desemba 2017.
 
View attachment 652459

Mkuu!
Salama Jabiri, hakuwa miongoni mwa Majaji wa Coca Cola Pop star..
Seven sawa, ila kulikua na majaji wengine toka South Africa, Chief Judge akiwa member wa liliokua kundi la Tk zee!
 
Ila Kisandu ni mpumbavu sana
Usitumie maneno makali dhidi yake, anahitaji msaada kwa sasa. Lakini lazima tuangalie eneo ambalo angalau twaweza kumpa credit, anapangilia vizuri hadithi zake hata kama hazina mantiki, aya zimepangiliwa vizuri, na pia uandishi kwa ujumla ni mzuri ukiachilia content ambazo mara zote ni shida. Kama kuna mdau humu anamfahamu tuungane tutafute jinsi ya kumsaidia ili awe asset kwa jamii na familia. Lakini tukiishia kumtukana atakuwa "Liability"
 
Back
Top Bottom