Shaa, Langa na Witness walipendelewa Coca Cola Pop Star ila mimi Masqo(Deo Kisandu) nikaachwa

Shaa, Langa na Witness walipendelewa Coca Cola Pop Star ila mimi Masqo(Deo Kisandu) nikaachwa

Haramu ni haramu tu mkuu bora apambane tuu binafsi bora nife kuliko kuwa kada wa kijani
Nawasilisha Popoma la kichaga
Ona hii
IMG-20171216-WA0042.jpg
 
Manina halaf akishaharisha anawaachia harufu yeye anakua kando kuangalia mnavyohangaika nayo
 
[HASHTAG]#huna[/HASHTAG] kipaji Mwalimu,kwani ushasahau ulishatusikilizisha izo nyimbo zako darasani tukaishia kucheka tu....amna chochote hujui hujui tu.
 
umeimba vzuri kwa vigezo gan!? je ulikuwa unajua vigezo walivyokuwa wanatumia wakat mchujo unafanyika!? tushawishi tuamini kwann ww ulipashwa kuwa ni1 na si Shaa wala Langa(marehemu)!? vipi na akna Shaa wakija hapa wadai wao nd wanadeserv na c wew!? tunaomba criteria mkuu, vinginevyo utakuwa unaomba huruma zetu tu!
 
WiFi za coca cola maeneo ya milembe zinatumiwa vibaya na vichaa
 
Back
Top Bottom