Shaa, Langa na Witness walipendelewa Coca Cola Pop Star ila mimi Masqo(Deo Kisandu) nikaachwa

Shaa, Langa na Witness walipendelewa Coca Cola Pop Star ila mimi Masqo(Deo Kisandu) nikaachwa

hospital.gif
 
Dah hichi kifaa hapana aisee kuna manzi alijitolea kumpa papuchi baada ya kujilipua sasa Masqo sijui kapiga
 
wewe Jamaa " muongo mnooo " Aiseee "" mpaka mwaka 2004 " soul n faith walikuwa" wameshatoka" kwa sisi ambao" tulikuwa " tunafuatilia" Tasnia us burudani " tunalijua " hilo " aisee
 
Back
Top Bottom