Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

Hivi unaujuaje mshahara wa mtu?πŸ€”
 
Kwani ITV tumewafanya nini mbona mnatujadili hivo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tajeni hiyo mishahara sababu kila mtu anasema yeye analipwa mwingi kuliko mtangazaji yeyote ukiwauliza kiasi gani wanakenua tu
Mfano, Kitenge, Diva washawahi kusema
We mbea sana bint
 
Mirathi ni ya familia yake, ambayo itakuwa inaujua mshahara wa ndugu yao.
 
Mirathi ni ya familia yake, ambayo itakuwa inaujua mshahara wa ndugu yao.
Jidanganye,tunazaa na micheouko njeπŸ˜•ikijua hauna kitu inakausha ila ikijus uliacha mali inakuja na kadi ya clinic na cheti cha ndoa na kuzua taharuki,bado wajomba ,baba wakubwa nao wanataja mgao
 
Aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…