Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

Kwani ITV tumewafanya nini mbona mnatujadili hivo 😂😂😂😂😂
 
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG

Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM.

Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa cheo unaweza kushushwa hicho cheo lakini mshahara hautashuka hata kama ulihudumu kwenye hiyo ofisi kwa siku moja tu.

Shaaban Kissu anakula mshahara wa DC kasoro marupurupu, ni mpaka atakapo staaafu utangazaji unless other wise.

Aliyemfuatia kwa karibu alikuwa marehemu Gardna G ambaye mshahara wake sitauweka hapa maana waswahili tunajuana hatuna dogo kwenye mirathi.
Mirathi ni ya familia yake, ambayo itakuwa inaujua mshahara wa ndugu yao.
 
Mirathi ni ya familia yake, ambayo itakuwa inaujua mshahara wa ndugu yao.
Jidanganye,tunazaa na micheouko nje😕ikijua hauna kitu inakausha ila ikijus uliacha mali inakuja na kadi ya clinic na cheti cha ndoa na kuzua taharuki,bado wajomba ,baba wakubwa nao wanataja mgao
 
Hapo umepotosha Gardner alikua analipwa million 8.7 after tax.
Akipiga jingle moja alikua analipwa kwa sekunde kila baada ya sekunde 30 analipwa million 1.5 inamaana tangazo likiwa na dakika moja analipwa 3M kwa masharti ya tangazo litumike ndani ya siku 30 tu inamaana ukitaka litumike kwa zaidi ya mwezi mmoja utalipia kila mwezi
Hapo bado kampuni ya bia aliyokua anapenda ilimpa offer ya kunywa bia bure kabisa bar yoyote ambayo inayo Lipa namba
Aseee
 
Back
Top Bottom