Shabani Matola amuua baba mwenye nyumba baada ya kudaiwa kodi ya pango

Shabani Matola amuua baba mwenye nyumba baada ya kudaiwa kodi ya pango

Mmh... hata humu jukwaani tuna matola.. sasa sijui ndo yeye..
Yule anaependa kupambana na popoma. Nahs wote sasa hv wako kifungoni.
Ngoja tusubiri kama yupo online au kama hayupo online tokea tukio litokee tuanze kuwa na mashaka.
 
Muhimu kujifunza sheria.Wengi huwa hawajui,kama kumfanyia fujo mpangaji,kumfungia nk.,nikosa.
Ni uvivu wetu wa kutopenda kuongeza maarifa nje ya fani tulizofundiswa darasani na vyuoni, ila ningepanda kila mtanzania walau ajue basic law kwenye tort na contract laws yaani sheria za mkataba. Huyu mwenye nyumba angejua hivi vitu viwili wala asingefanya alivyo fanya kumletea usumbufu mpangaji angetumia njia za kisheria kwanza
 
Back
Top Bottom