Labda alitukanwa sana na kuzalilishwa na mwenye nyumba na akashindwa kuvumilia, na inaonekana mgogoro haukuanza siku hiyo huwenda ni wa muda mrefu sana
Ni uvivu wetu wa kutopenda kuongeza maarifa nje ya fani tulizofundiswa darasani na vyuoni, ila ningepanda kila mtanzania walau ajue basic law kwenye tort na contract laws yaani sheria za mkataba. Huyu mwenye nyumba angejua hivi vitu viwili wala asingefanya alivyo fanya kumletea usumbufu mpangaji angetumia njia za kisheria kwanza