Shabibiy: Nilinunua basi langu la kwanza nikiwa na miaka 19. Asema mafanikio yake siyo ya kurithi

Vitu vingine hubaki sirini; ingekuwa ni bidii tu kila mmoja angefanikiwa
Yap ndio hivyo
Sema huyu kashapata ela kwa njia zake anawachagulia tu maneno ya kuwapa 😄
Nikizipata na mimi ntawaambia tu nilivyokuwa nasoma nilijishughulisha na biz ndogondogo wakti wenzangu wanaenda kudimbwi mpaka sasa namiliki hotel 5 😛
 
Mwambieni aache uwongo pesa ipo kwenye magendo na yy alifanya magendo. Ndovu ndio ilimuweka kwenye ramani
 
Nilikutana na mzee mmoja nikiwa nafanya kazi kilimanjaro na akaniambia siku utakapopata umaarufu na kuwa na fedha ujipange jinsi gani ya kuonyesha ulivyopata hizo fedha na mafanikio.

Alikua anamaanisha lazima uandae stori itakayofanya mtu akisikia una mafanikio au fedha basi ajue ulizipata kwa tabu hata kama ulikua unafuja mali za serikali.
 
Ila wakuu hawa warabu na wahindi kiukweli wanajua kusimamia biashara zao. Pia wana uwezo mkubwa wa kurithisha mali vizazi mpaka vizazi ila sisi waafrika weusi hata uachiwe mabasi 100 baada ya miaka 5 yote utakayakuta juu ya mawe.
 
Apostle kuna muujiza huku..........
 
Njia za mafanikio ziko nyingi hiyo ni mojawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…