Shida nini, wenzetu ufunza watoto biashara tangu wadogo.Miaka 19 unamiliki pesa za kununua basi 🤔🤔 muujiza huu 🚶🚶🚶🚶
Sisi tukalipe ada milioni 10 wapate vyeti kusubiria kuajiriwa then tulingane na weupe
Shida nini, wenzetu ufunza watoto biashara tangu wadogo.Miaka 19 unamiliki pesa za kununua basi 🤔🤔 muujiza huu 🚶🚶🚶🚶
Wee,sema kweli? Wakulima mnangoja nn jamenalikuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo na kilimo jambo lililomfanya akiwa na umri wa miaka 19 aweze kununua basi lake la kwanza la kusafirisha abiria.
Coaster unaiita bus?Mfanyabiashara anayemiliki Mabasi ya Shabiby, Ahmedy Shabiby ambaye pia ni Mbunge wa Gairo amesema alifanikiwa kununua Basi lake la kwanza akiwa na umri wa miaka 19 kutokana na kufanya kazi kwa bidii na kusisitiza kuwa hakuna mbadala mwingine wa mafanikio zaidi ya kufanya kazi kwa bidii.
Shabiby amesema wakati anasoma alikuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo na kilimo jambo lililomfanya akiwa na umri wa miaka 19 aweze kununua basi lake la kwanza la kusafirisha abiria.
Shabiby ameongeza kuwa Watu wengi wamekuwa wakidhani mafanikio aliyoyapata yametokana na kuzaliwa kwenye familia ya kitajiri na kurithi mali jambo ambalo amesema sio la kweli bali siri ni kufanya kazi kwa kujituma na kwa bidii bila kukata tamaa.
🤣🤣🤣🤣🤣Labda kama alipata Basha.
Miaka 19 upate pesa ya kununua basi tena nchi kama Tz?
Wakati kuna vijana wana miaka 30 lakini hata wembe wa kunyolea mavuzi anamuomba baba/mama yake.
Aache utani aisee.
Na ww usikate tamaa kwenye uuzaji wa pafyum lzm utoboe
Miaka 19 ununue bus la milioni moja au 3?Kwahiyo ulitegemea akupe siri walivyotajirika kwenye meno ya tembo?
Sijui nakwama wapi😂😂Mfanyabiashara anayemiliki Mabasi ya Shabiby, Ahmedy Shabiby ambaye pia ni Mbunge wa Gairo amesema alifanikiwa kununua Basi lake la kwanza akiwa na umri wa miaka 19 kutokana na kufanya kazi kwa bidii na kusisitiza kuwa hakuna mbadala mwingine wa mafanikio zaidi ya kufanya kazi kwa bidii.
Shabiby amesema wakati anasoma alikuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo na kilimo jambo lililomfanya akiwa na umri wa miaka 19 aweze kununua basi lake la kwanza la kusafirisha abiria.
Shabiby ameongeza kuwa Watu wengi wamekuwa wakidhani mafanikio aliyoyapata yametokana na kuzaliwa kwenye familia ya kitajiri na kurithi mali jambo ambalo amesema sio la kweli bali siri ni kufanya kazi kwa kujituma na kwa bidii bila kukata tamaa.
Kwa mawazo hayo unategemea kufanikiwa?Stori za wenye fedha wanakwambia siri ni kufanya kazi kwa bidii wakati ni wapigaji wa madili ya meno ya tembo, wezi wa mali za uma, wazee wa madawa ya kulevya na mfanano wake
Ila kwenye media, walifanya kazi kwa bidii na kuwa na nidhamu ya fedha.
HahahahahahHAMJANUELEWA SHABIBY HAJAZUNGUMZIA KUFANYA KAZI HALALI, YEYE ASEMA KUFANYA KAZI KWA BIDII, KAMA KUIBA MENO YA TEMBO IBA KWA BIDII , MADAWA YA KULEVYA ......NK KILA KITU UKIFANYACHO WEKA BIDII.
Poleee ya nin sasa wakati nimekutia moyo usikate tamaa[emoji23],au bado unadalalia magari?[emoji23][emoji23][emoji23] pole
Tusichokijua:[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mfanyabiashara anayemiliki Mabasi ya Shabiby, Ahmedy Shabiby ambaye pia ni Mbunge wa Gairo amesema alifanikiwa kununua Basi lake la kwanza akiwa na umri wa miaka 19 kutokana na kufanya kazi kwa bidii na kusisitiza kuwa hakuna mbadala mwingine wa mafanikio zaidi ya kufanya kazi kwa bidii.
Shabiby amesema wakati anasoma alikuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo na kilimo jambo lililomfanya akiwa na umri wa miaka 19 aweze kununua basi lake la kwanza la kusafirisha abiria.
Shabiby ameongeza kuwa Watu wengi wamekuwa wakidhani mafanikio aliyoyapata yametokana na kuzaliwa kwenye familia ya kitajiri na kurithi mali jambo ambalo amesema sio la kweli bali siri ni kufanya kazi kwa kujituma na kwa bidii bila kukata tamaa.
Acha uongo, usingepata uwezo wa kuingia Jamiiforums kwa Hali hiyoHongera yake , Mimi sasa hivi naitafuta miaka 50+ sina pikipiki, baiskeli wala redio. Nina mke na watoto tu.
Mwisho wa Siku tunasema Mungu ni mwema kwa kila jambo
Poleee ya nin sasa wakati nimekutia moyo usikate tamaa[emoji23],au bado unadalalia magari?
Mkuu kuingia JF ndo utajiri?Acha uongo..,usingepata uwezo wa kuingia jamiiforum kwa Hali hiyo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Haiingii akilini uwe na uwezo wa kumiliki device ya kukuwezesha kuingia jamiiforum.., alafu ushindwe kumiliki hata baiskeli..,labda ukisema upendelei kumiliki baikeli hapo waweza kuelewekaMkuu kuingia jf ndo utajiri?,