RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Hivi ameeleza ni bus gani? Isije kuwa bus au mini bus kuukuu kauziwa na mtu au taasisi kwa bei nafuu.
Kuna vijana humu waliweka historia zao za kutengeneza 15-30m at early age. Hela hio sasa hivi anaweza kununua bus kuukuu akaanza nalo.
Kuna mpare nilikuwa napiga nae box akanunua Scania truck(wakati mimi niko busy kununua BMW mbovu mbovu). Yule jamaa akaleta ile truck bongo akaijengea body ya bus ikawa inapiga route huko upareni. Sijui sasa hivi Ana buses ngapi au kashafilisika.
Wether huyu Mh anasema uongo au kweli ila anachosema kinawezekana na tuchukue positive side hayo ya gizani muachieni mwenyewe. Haya motivational speaker nishasema niueni nimekaa paleee.