Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Wahindi wapi hao unazungumzia,wahindi wamejaa ufukara wa kifa MTU au unazungumzia hawa wanao kuja huku Afrika kufanya biashara.Ila wakuu hawa warabu na wahindi kiukweli wanajua kusimamia biashara zao. Pia wana uwezo mkubwa wa kurithisha mali vizazi mpaka vizazi ila sisi waafrika weusi hata uachiwe mabasi 100 baada ya miaka 5 yote utakayakuta juu ya mawe.
Hiki ndicho jilichoipeleka familia yao kuishi Gairo sehemu ambayo ilikuwa na shida kubwa sana ya maji, hawa ni sawa na wale waburushi wa Rujewa ambao biashara yao kuu ilikuwa hii kitu.Kwahiyo ulitegemea akupe siri walivyotajirika kwenye meno ya tembo?
Yeye mwenyewe kalianzisha, hatukumuuliza.Acheni maneno fanyeni kazi kwa bidii
YAANI Aseme Kuwa Tembo Walikuwa Hawapumui Kwa Kupigwa Na Short GunKwahiyo ulitegemea akupe siri walivyotajirika kwenye meno ya tembo?
Wapiga kura wa Ccm hata mkiambiwa mkatwe shingo muwe matajili mtaamini, maana akili zimefungiwa kabatini.Afrika watu hawaamin ukifanya mishe izi izi ndogo ndogo huwez kufanikiwa ndo maana tuko hapa had leo binafsi huyo jamaa nimemuamin
Kwamba wametakatisha fedha..!,Kwahiyo ulitegemea akupe siri walivyotajirika kwenye meno ya tembo?
Who can trust this little lie tale.
Chief Mkwawa kapiga nao sana deal ya pembeni za ndovu Waarabu, Sasa sijui waliishia kubadilishana kwa silaha au na pesa walikuwa wanampa?Kwamba wametakatisha fedha..!,
Sasa si kawaambia mfanye kazi kwa bidii. Hayo mengine mnayatoa wapi?Yeye mwenyewe kalianzisha, hatukumuuliza.
Matajiri wana siri nyingi. Ila kwa bahati mbaya, siku zote husimulia vile vitu vya kipuuzi puuzi tu ili kuwatia moyo masikini.Mfanyabiashara anayemiliki Mabasi ya Shabiby, Ahmedy Shabiby ambaye pia ni Mbunge wa Gairo amesema alifanikiwa kununua Basi lake la kwanza akiwa na umri wa miaka 19 kutokana na kufanya kazi kwa bidii na kusisitiza kuwa hakuna mbadala mwingine wa mafanikio zaidi ya kufanya kazi kwa bidii.
Shabiby amesema wakati anasoma alikuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo na kilimo jambo lililomfanya akiwa na umri wa miaka 19 aweze kununua basi lake la kwanza la kusafirisha abiria.
Shabiby ameongeza kuwa Watu wengi wamekuwa wakidhani mafanikio aliyoyapata yametokana na kuzaliwa kwenye familia ya kitajiri na kurithi mali jambo ambalo amesema sio la kweli bali siri ni kufanya kazi kwa kujituma na kwa bidii bila kukata tamaa.
Wana uhakika wa kupata kesho nitapata,baada ya Kazi ni kufungua zipu na vizibo vya bia.Wabeba mizigo kila siku wanafanya kazi kwa bidii lakini maisha yao hayabadiliki