Shabiby line "mguu sawa" safari za Dar-Tanga, haijawahi tokea

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
435
Reaction score
733
Katika hali ya kutanua ukubwa wa biashara ya usafirishaji Tanzania, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line inaanzisha ruti mpya za Dar-Tanga, Tanga-Dar.

Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, Mei mwaka huu (mwezi ujao), Shabiby Line rasmi yataanza safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga na kurudi Dar kila siku yakipishana mchana kutwa na nusu ya usiku.
Imeelezwa kuwa, ofisi ya Shabiby Line jijini Tanga ziko Barabara ya 13 zikiendelea kukamilishwa kwa mahitaji ya kiofisi ili kuanza kazi rasmi.

Aidha, taarifa zisema kuwa, mabasi yote yatakayoanza ruti za Dar-Tanga yatakuwa mapya kabisa huku kila siti ikiwa na tivii moja kwa ajili ya abiria mmoja (kila abiria na siti yake) ambapo ataweza kuona na kusikia kupitia 'earphone' za kisasa.

Aidha, wahudumu mahiri ambao kwa sasa wapo mafunzoni kwa ajili ya kusomea huduma kwa wateja (customer care) ili abiria wapate mapokezi mazuri tangu mwanzo wa kuanza safari hadi mwisho.
Kwa sasa, mabasi ya Shabiby Line bado yanafanya safari zake za Dar-Dodoma. Dar-Arusha. Dodoma-Arusha. Dodoma-Mbeya.

Baadhi ya watu, hususan wanaotumia barabara ya Dar-Tanga wamesema wanasubiri kwa hamu ruti hiyo mpya ya Shabiby Line.

"Mimi nafanya biashara ya kununua vitambaa Dar kuleta Tanga. Nimefurahi sana kwa taarifa hizi. Tanga kwenda Dar mabasi yalikuwa machache sana. Tunamkaribisha Shabiby," alisema Hamo Mwameja, mkazi wa Mwanzange jijini Tanga.
 
KWA ABIRIA WAPI TANGA NA MABASI YOTE HAYO? WASHAURI WAANZISHE SAFARI ZA KWENDA KANDA YA ZIWA TOKEA TANGA, WATAPATA WASAFIRI MAANA WA BUKOBA, MWANZA, WATAPATA NAFUU YA CONVINIENCE KU BOARD TANGA AKASHUKIA BUKOBA/MWANZA KULIKO KWENDA DAR KWANZA......
 
Katika hali ya kutanua ukubwa wa biashara ya usafirishaji Tanzania, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line inaanzisha ruti mpya za Dar-Tanga, Tanga-Dar.

Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, Mei mwaka huu (mwezi ujao), Shabiby Line rasmi yataanza safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga na kurudi Dar kila siku yakipishana mchana kutwa na nusu ya usiku.
Imeelezwa kuwa, ofisi ya Shabiby Line jijini Tanga ziko Barabara ya 13 zikiendelea kukamilishwa kwa mahitaji ya kiofisi ili kuanza kazi rasmi.

Aidha, taarifa zisema kuwa, mabasi yote yatakayoanza ruti za Dar-Tanga yatakuwa mapya kabisa huku kila siti ikiwa na tivii moja kwa ajili ya abiria mmoja (kila abiria na siti yake) ambapo ataweza kuona na kusikia kupitia 'earphone' za kisasa.

Aidha, wahudumu mahiri ambao kwa sasa wapo mafunzoni kwa ajili ya kusomea huduma kwa wateja (customer care) ili abiria wapate mapokezi mazuri tangu mwanzo wa kuanza safari hadi mwisho.
Kwa sasa, mabasi ya Shabiby Line bado yanafanya safari zake za Dar-Dodoma. Dar-Arusha. Dodoma-Arusha. Dodoma-Mbeya.

Baadhi ya watu, hususan wanaotumia barabara ya Dar-Tanga wamesema wanasubiri kwa hamu ruti hiyo mpya ya Shabiby Line.

"Mimi nafanya biashara ya kununua vitambaa Dar kuleta Tanga. Nimefurahi sana kwa taarifa hizi. Tanga kwenda Dar mabasi yalikuwa machache sana. Tunamkaribisha Shabiby," alisema Hamo Mwameja, mkazi wa Mwanzange jijini Tanga.
BM Naye humo humo
 
Kampuni kubwa zote wamekimbilia Tanga.
 
Route ya Dom hali ngumu kina ABC, BM na SGR wanambana mbavu
 
Tashrif na Simba mtoto wajiandae tu kumfuata ndugu yao Raha Leo kusikojulikana.
 
Aanzishe pia Dodoma _Tanga.
 
Route ya Dom hali ngumu kina ABC, BM na SGR wanambana mbavu
Si kweli

Sababu ni hii: Shabiby na Abood wameagiza mabasi matoleo mapya Yutong D14 yako njiani kutoka China

Abood kaagiza mabasi 50 na Shabiby kaagiza mabasi 30

Walichofanya ni kutanua wigo wa biashara wala hazihusiani na SGR.

Na sio Tanga tu route zaidi zitaongezeka

SGR haina ubavu wa kuwaangusha wakurugenzi kibiashara since day one
​
 
Ni vizuri maana Kwa Tanga kampuni za mabasi zinafanya biashara kienyeji sana, kampuni unavyoweza kusema wameset standard Fulani ni TAHMEED, kidogo na wale RATCO wako vizuri nao, TAWAKAL naye sijui maana sijapanda muda toka nitoke huko, wengine wote waliobaki wanaendesha biashara kienyeji sanaaana na wana ile aaah watapanda tu hao. Hivyo waache walete mabus mazuri abiria wapo wa kutosha sanaaaa.

Kuna route ya Tanga-Arusha, hii route ina watu sana halafu kampuni inayotembea ni moja tu nyingine hakuna kitu, haiwezekani watu wanagombea gari za kampuni moja na ngoma ikiondoka stendi tayari imejaa halafu si kwamba ni gari nzuri, ni gari tu za kawaida tu za madaraja ya kati ya chini. Nawashauri walio kwenye hii business wapeleke gari hiyo route ina pesa.
 
Daaa SGR kibokooo imewaamsha wengiii.....heri kwa wasafiriii.....ingawa nauli haishukiiii
 
Back
Top Bottom