KWA ABIRIA WAPI TANGA NA MABASI YOTE HAYO? WASHAURI WAANZISHE SAFARI ZA KWENDA KANDA YA ZIWA TOKEA TANGA, WATAPATA WASAFIRI MAANA WA BUKOBA, MWANZA, WATAPATA NAFUU YA CONVINIENCE KU BOARD TANGA AKASHUKIA BUKOBA/MWANZA KULIKO KWENDA DAR KWANZA......Katika hali ya kutanua ukubwa wa biashara ya usafirishaji Tanzania, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line inaanzisha ruti mpya za Dar-Tanga, Tanga-Dar.
Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, Mei mwaka huu (mwezi ujao), Shabiby Line rasmi yataanza safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga na kurudi Dar kila siku yakipishana mchana kutwa na nusu ya usiku.
Imeelezwa kuwa, ofisi ya Shabiby Line jijini Tanga ziko Barabara ya 13 zikiendelea kukamilishwa kwa mahitaji ya kiofisi ili kuanza kazi rasmi.
Aidha, taarifa zisema kuwa, mabasi yote yatakayoanza ruti za Dar-Tanga yatakuwa mapya kabisa huku kila siti ikiwa na tivii moja kwa ajili ya abiria mmoja (kila abiria na siti yake) ambapo ataweza kuona na kusikia kupitia 'earphone' za kisasa.
Aidha, wahudumu mahiri ambao kwa sasa wapo mafunzoni kwa ajili ya kusomea huduma kwa wateja (customer care) ili abiria wapate mapokezi mazuri tangu mwanzo wa kuanza safari hadi mwisho.
Kwa sasa, mabasi ya Shabiby Line bado yanafanya safari zake za Dar-Dodoma. Dar-Arusha. Dodoma-Arusha. Dodoma-Mbeya.
Baadhi ya watu, hususan wanaotumia barabara ya Dar-Tanga wamesema wanasubiri kwa hamu ruti hiyo mpya ya Shabiby Line.
"Mimi nafanya biashara ya kununua vitambaa Dar kuleta Tanga. Nimefurahi sana kwa taarifa hizi. Tanga kwenda Dar mabasi yalikuwa machache sana. Tunamkaribisha Shabiby," alisema Hamo Mwameja, mkazi wa Mwanzange jijini Tanga.
BM Naye humo humoKatika hali ya kutanua ukubwa wa biashara ya usafirishaji Tanzania, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line inaanzisha ruti mpya za Dar-Tanga, Tanga-Dar.
Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, Mei mwaka huu (mwezi ujao), Shabiby Line rasmi yataanza safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga na kurudi Dar kila siku yakipishana mchana kutwa na nusu ya usiku.
Imeelezwa kuwa, ofisi ya Shabiby Line jijini Tanga ziko Barabara ya 13 zikiendelea kukamilishwa kwa mahitaji ya kiofisi ili kuanza kazi rasmi.
Aidha, taarifa zisema kuwa, mabasi yote yatakayoanza ruti za Dar-Tanga yatakuwa mapya kabisa huku kila siti ikiwa na tivii moja kwa ajili ya abiria mmoja (kila abiria na siti yake) ambapo ataweza kuona na kusikia kupitia 'earphone' za kisasa.
Aidha, wahudumu mahiri ambao kwa sasa wapo mafunzoni kwa ajili ya kusomea huduma kwa wateja (customer care) ili abiria wapate mapokezi mazuri tangu mwanzo wa kuanza safari hadi mwisho.
Kwa sasa, mabasi ya Shabiby Line bado yanafanya safari zake za Dar-Dodoma. Dar-Arusha. Dodoma-Arusha. Dodoma-Mbeya.
Baadhi ya watu, hususan wanaotumia barabara ya Dar-Tanga wamesema wanasubiri kwa hamu ruti hiyo mpya ya Shabiby Line.
"Mimi nafanya biashara ya kununua vitambaa Dar kuleta Tanga. Nimefurahi sana kwa taarifa hizi. Tanga kwenda Dar mabasi yalikuwa machache sana. Tunamkaribisha Shabiby," alisema Hamo Mwameja, mkazi wa Mwanzange jijini Tanga.
Kampuni kubwa zote wamekimbilia Tanga.Katika hali ya kutanua ukubwa wa biashara ya usafirishaji Tanzania, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line inaanzisha ruti mpya za Dar-Tanga, Tanga-Dar.
Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, Mei mwaka huu (mwezi ujao), Shabiby Line rasmi yataanza safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga na kurudi Dar kila siku yakipishana mchana kutwa na nusu ya usiku.
Imeelezwa kuwa, ofisi ya Shabiby Line jijini Tanga ziko Barabara ya 13 zikiendelea kukamilishwa kwa mahitaji ya kiofisi ili kuanza kazi rasmi.
Aidha, taarifa zisema kuwa, mabasi yote yatakayoanza ruti za Dar-Tanga yatakuwa mapya kabisa huku kila siti ikiwa na tivii moja kwa ajili ya abiria mmoja (kila abiria na siti yake) ambapo ataweza kuona na kusikia kupitia 'earphone' za kisasa.
Aidha, wahudumu mahiri ambao kwa sasa wapo mafunzoni kwa ajili ya kusomea huduma kwa wateja (customer care) ili abiria wapate mapokezi mazuri tangu mwanzo wa kuanza safari hadi mwisho.
Kwa sasa, mabasi ya Shabiby Line bado yanafanya safari zake za Dar-Dodoma. Dar-Arusha. Dodoma-Arusha. Dodoma-Mbeya.
Baadhi ya watu, hususan wanaotumia barabara ya Dar-Tanga wamesema wanasubiri kwa hamu ruti hiyo mpya ya Shabiby Line.
"Mimi nafanya biashara ya kununua vitambaa Dar kuleta Tanga. Nimefurahi sana kwa taarifa hizi. Tanga kwenda Dar mabasi yalikuwa machache sana. Tunamkaribisha Shabiby," alisema Hamo Mwameja, mkazi wa Mwanzange jijini Tanga.
Route ya Dom hali ngumu kina ABC, BM na SGR wanambana mbavuKatika hali ya kutanua ukubwa wa biashara ya usafirishaji Tanzania, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line inaanzisha ruti mpya za Dar-Tanga, Tanga-Dar.
Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, Mei mwaka huu (mwezi ujao), Shabiby Line rasmi yataanza safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga na kurudi Dar kila siku yakipishana mchana kutwa na nusu ya usiku.
Imeelezwa kuwa, ofisi ya Shabiby Line jijini Tanga ziko Barabara ya 13 zikiendelea kukamilishwa kwa mahitaji ya kiofisi ili kuanza kazi rasmi.
Aidha, taarifa zisema kuwa, mabasi yote yatakayoanza ruti za Dar-Tanga yatakuwa mapya kabisa huku kila siti ikiwa na tivii moja kwa ajili ya abiria mmoja (kila abiria na siti yake) ambapo ataweza kuona na kusikia kupitia 'earphone' za kisasa.
Aidha, wahudumu mahiri ambao kwa sasa wapo mafunzoni kwa ajili ya kusomea huduma kwa wateja (customer care) ili abiria wapate mapokezi mazuri tangu mwanzo wa kuanza safari hadi mwisho.
Kwa sasa, mabasi ya Shabiby Line bado yanafanya safari zake za Dar-Dodoma. Dar-Arusha. Dodoma-Arusha. Dodoma-Mbeya.
Baadhi ya watu, hususan wanaotumia barabara ya Dar-Tanga wamesema wanasubiri kwa hamu ruti hiyo mpya ya Shabiby Line.
"Mimi nafanya biashara ya kununua vitambaa Dar kuleta Tanga. Nimefurahi sana kwa taarifa hizi. Tanga kwenda Dar mabasi yalikuwa machache sana. Tunamkaribisha Shabiby," alisema Hamo Mwameja, mkazi wa Mwanzange jijini Tanga.
Aanzishe pia Dodoma _Tanga.Katika hali ya kutanua ukubwa wa biashara ya usafirishaji Tanzania, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line inaanzisha ruti mpya za Dar-Tanga, Tanga-Dar.
Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, Mei mwaka huu (mwezi ujao), Shabiby Line rasmi yataanza safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga na kurudi Dar kila siku yakipishana mchana kutwa na nusu ya usiku.
Imeelezwa kuwa, ofisi ya Shabiby Line jijini Tanga ziko Barabara ya 13 zikiendelea kukamilishwa kwa mahitaji ya kiofisi ili kuanza kazi rasmi.
Aidha, taarifa zisema kuwa, mabasi yote yatakayoanza ruti za Dar-Tanga yatakuwa mapya kabisa huku kila siti ikiwa na tivii moja kwa ajili ya abiria mmoja (kila abiria na siti yake) ambapo ataweza kuona na kusikia kupitia 'earphone' za kisasa.
Aidha, wahudumu mahiri ambao kwa sasa wapo mafunzoni kwa ajili ya kusomea huduma kwa wateja (customer care) ili abiria wapate mapokezi mazuri tangu mwanzo wa kuanza safari hadi mwisho.
Kwa sasa, mabasi ya Shabiby Line bado yanafanya safari zake za Dar-Dodoma. Dar-Arusha. Dodoma-Arusha. Dodoma-Mbeya.
Baadhi ya watu, hususan wanaotumia barabara ya Dar-Tanga wamesema wanasubiri kwa hamu ruti hiyo mpya ya Shabiby Line.
"Mimi nafanya biashara ya kununua vitambaa Dar kuleta Tanga. Nimefurahi sana kwa taarifa hizi. Tanga kwenda Dar mabasi yalikuwa machache sana. Tunamkaribisha Shabiby," alisema Hamo Mwameja, mkazi wa Mwanzange jijini Tanga.
Route ya Dom hali ngumu kina ABC, BM na SGR wanambana mbavu
SGR imewafurusha routes zao za zamani.BM Naye humo humo