Shabiby Line ya Dodoma-Songea acheni uswahili tunzeni muda

Shabiby Line ya Dodoma-Songea acheni uswahili tunzeni muda

nicholasmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
1,939
Reaction score
1,257
Kama basi linatakiwa kuondoka saa 02.00pm Songea kwanini mpaka sahivi haionekani? SuperFeo ya route hiyi kashafika mbali. Wahudumu mtakuja kuua biashara za watu, achenu uswahili.
 
Mabasi ambao hayana hizo mambo ya Dar Arusha kama BM, abood, Kilimanjaro, yaani hapo unateleza tuu.
 
Back
Top Bottom