N nicholasmari JF-Expert Member Joined Dec 28, 2024 Posts 1,939 Reaction score 1,257 Aug 26, 2025 #1 Kama basi linatakiwa kuondoka saa 02.00pm Songea kwanini mpaka sahivi haionekani? SuperFeo ya route hiyi kashafika mbali. Wahudumu mtakuja kuua biashara za watu, achenu uswahili.
Kama basi linatakiwa kuondoka saa 02.00pm Songea kwanini mpaka sahivi haionekani? SuperFeo ya route hiyi kashafika mbali. Wahudumu mtakuja kuua biashara za watu, achenu uswahili.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,522 Reaction score 40,795 Aug 26, 2025 #2 Rekebisha ni Songea sio Singida.
Robert Heriel Mtibeli Platinum Member Joined Mar 24, 2018 Posts 40,153 Reaction score 93,069 Aug 26, 2025 #3 Mabasi ambao hayana hizo mambo ya Dar Arusha kama BM, abood, Kilimanjaro, yaani hapo unateleza tuu.