Ndiyo wamejuwa leo 😄Wakuu kumbe Viwanda vinavyotengeneza Juisi huwa hawatumii matunda hata kidogo bali ni kemikali tupu, na wanatuwekea picha za matunda.
Hayo maneno yamesemwa na Mbunge Shabiby Bungeni.
Hatari sana,
Video inakuja
It is true, this is very dangerous!, ila sio vyote, Juis za Azam, ana import pulp na kuchanganya na matunda kidogo, hivyo ni angalau angalau. Juice za azam zina madhara yoyote?Wakuu kumbe Viwanda vinavyotengeneza Juisi huwa hawatumii matunda hata kidogo bali ni kemikali tupu, na wanatuwekea picha za matunda.
Hayo maneno yamesemwa na Mbunge Shabiby Bungeni.
Hatari sana,
Video inakuja
Sioni kama kuna angalau mkuuuIt is true, this is very dangerous!, ila sio vyote, Juis za Azam, ana import pulp na kuchanganya na matunda kidogo, hivyo ni angalau angalau.
P
Naomba uniamini mimi, kuna angalau kwa juice za Azam, ana import pulp na kuchanganya na matunda local. Juice za azam zina madhara yoyote?Sioni kama kuna angalau mkuuu
Sasa hizo flavour si zinatokana na matunda? Utatengenezaje Mango flavour bila maembe?sasa hilo mbona liko wazi tunajua ile ni flavour tu..ukitaka pure juice iandikwe 100% na yenyewe sio kwamba inakuwa pure kabisa ni organic ila kuna vitu wanaongeza...na hizo juice hujalazimishwa kununua kuna matunda kibao masokoni huko
Apo kiwandani zinaingiaa Tani ngapi za matundaNaomba uniamini mimi, kuna angalau kwa juice za Azam, ana import pulp na kuchanganya na matunda local.
P
Mimi sio ofisa wa Azam, ila najua Azam ananunua matunda kwa wakulima, ila pia najua anachanganya na imported pulp, ila nawajua na wekingi wanatumia kemikali only, hivyo Azam ana afadhali. Juice za azam zina madhara yoyote?Apo kiwandani zinaingiaa Tani ngapi za matunda
Vitu Gani vina kwashiorkor 😂Nimeenda New Africa wakaniuzia juice hizo za box, glass elfu sita! Duh! Viasi utadhani vina kuashiokor
Asantee kw taarifa, unashauri tutumie azamMimi sio ofisa wa Azam, ila najua Azam ananunua matunda kwa wakulima, ila pia najua anachanganya na imported pulp, ila nawajua na wekingi wanatumia kemikali only, hivyo Azam ana afadhali.
P