Shabiby: Viwanda vya Juisi vinaweka picha ya tunda kumbe vinaweka kemikali

Shabiby: Viwanda vya Juisi vinaweka picha ya tunda kumbe vinaweka kemikali

Bora me nina shamba la miti ya matunda.

Mimi: wife..

Mke wangu: mmh!

Mimi: kuna jwisi
gani?

Mke wangu: ipo ya chungwa kipenzi.

Mimi: nilikuwa nahitaji ya pasheni.

Mke wangu: ngoja nikakutengenezee.
Mazungumzo ya malaika wakiwa wanapata mkate wao wa mchana!
 
hii agenda ibebwe na mikutano ya hadhara inayoendelea nchini mana simchezo
 
Sasa hizo flavour si zinatokana na matunda? Utatengenezaje Mango flavour bila maembe?
kwa mango flavour kuna
  • Esters
  • Lactones
  • Terpenes
yaani hizi flavour zipo kabisa na wanaweza ku mix na real mango juice kdg sana
 
Back
Top Bottom