Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

hesabu zinagoma kutembea kwa miguu mbeya to dar (813km) kwa muda uliopo, hata kama alianza safari siku ile ya draw

thanks to god the almighty
Juzi alikuwa mafinga, nazani anatembea usiku na mchana huyu
 
Hivi wazungu wanaweza kufanya huu ujinga wa kutembea mbeya Hadi dar??
Hawawez unless Kuna sababu za muhimu nyuma ya pazia

Huyo alikua na sababu gani ya kutembea???

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mie nashangaa wanavyosema angekuwa mzungu lingekuwa jambo la kawaida wanasahau kwamba wale wanafanya kwa faida.

Labda watuambie huyo jamaa akifika DSM atakuwa kapata faida gani?
 
Hahaaaa. Anajua hiyo njia ya kuomba haiwi rahisi kusaidiwa sababu wanaoomba ni wengi hivyo katafuta njia ya peke yake 😀😀😀ambayo ukiiangalia kwa asilimia fulani ina athari kwake.

Akifika salama watamuona shujaa ila hao hao asipofika salama watamuona bonge la mjinga.
 
Angekuwa Ni Mzungu Mngemsifu ila kwa kuwa ni mswahili mna mzarau

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hii mmeiona ndio sababu eti. Wacheni kuwaingiza wazungu hapa leo tunamsemea huyu shabiki wa Mikia asiyeihurumia nafsi yake pamoja na afya

Nawaza tu hivyo akifika karibia na mikumi anapanda basi then anashuka baada ya au ndio atatembea kote huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…