Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Ameshindwa kuendelea baada ya kuchoka miguu,ameomba asaidiwe nauli ya kufila morogoro kuungana na lialia wenzie. Ushabiki wa mpira raha sana
Mtu kwa akili timamu na hesabu za haraka haraka huwez tembea mbeya Hadi dar...kwa gari tu mtu unakaa asbh saa 12 Hadi usiku saa2 au 3 na gari inakua speed Sana,,,

Vitu vngne hivi kujazana sifa za kijinga.. Sasa si bora angeomba tu nauli mapema,,kwa hiyo amefanya ivyo ili aonekane kwa watu wanchangie???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kumjaza upepo...mwishowe atajaa atapasuka

Mumjaze hivyohivyo atembee tena na kurudi

Akifika inabidi mumpe kifuta jasho Sasa kwa kazi ya kizalendo ya kutembea toka mbeya...
Huyu nahisi aliondoka kwa kutoroka kwao/kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia safari ishamshinda huko anaomba msaada wa nauli. Teh teh.
 
Dada Wa mie huyu jamaa ataibukia Dar ghafla kufotoa picha nyingine
Na kweli Kaka wa mie. Ila usawa huu tutayaona mengi sana yaani.

Maana mtu anaanzia mbaali kufanya jambo ambalo linashangaza wengi kumbe dhamira yake mbeleni inakuwa kuhitaji pesa tu hamna kingine.
 
Nasikia safari ishamshinda huko anaomba msaada wa nauli. Teh teh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anazidi kututia aibu watu wa mbeya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo atakuwa a najipa moyo kwamba MO atamtumia nauli
Amebuni njia rahsi ya kupata nauli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SI ajabu hata njiapanda ya iringa mjini hajafika,litakua lipo makambako huko

AF wenzie huku wanamnafikia kwamba atafika tu,safari hiihii ya mbeya dar nayoijua mm ,,kwa mguu!?!!!

Pole sana. Yabidi mkubali tu hizo aibu Mkuu.

Kwanza hapo mwisho wa siku angeibua maradhi tu hapo na si kingine na hata huo mpira asingeuangalia.
 
Anataka air time tu, hana kingine.

Mtani vipi unaionaje mechi ya Simba na Wacongo?
Kabisaaa. Ila keshaipata hapo maana ametangazwa sana mitandaoni.

Mnaeza pata matokeo Kwa Mkapa ila kule kwao sio rahisi Mtani.
 
Tumpe muda,anaweza kufika leo au kesho jioni [emoji23][emoji23]

Sent from Nokia 7 Plus
 
Back
Top Bottom