Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Nchi badala ya kusonga na fikra za watu zisonge
Inarudi nyuma kwenye zama za ujima kwa kasi kubwa sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujima hauna mbadala,yaani hata kibiriti hakuna hivyo lazima upekeche vijiti,sasa huyu kafanya hivyo na magari yapo,na tena usifikiri nauli hana au hawezi kupata ni mambo tu ya "Weka Rekodi,Vunja Rekodi" wala si nchi kurudi nyuma kwenye zama za ujima kama ulivyosema.

Haya mambo ya kutaka kufanya mambo ya kushangaza na kuweka rekodi hata nchi za dunia ya kwanza yapo sana,wakifanya wenzetu kawaida tukifanya sisi mnaona kuna shida.Wapi tumekosea waafrica?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu hapa Chalinze
 

Attachments

  • IMG_3594.JPG
    IMG_3594.JPG
    511.3 KB · Views: 24
Wanaume wa dar wataona jamaa hawezi ila sisi tunaojua maisha ya huku kwtu mashamban tunaona kabisa hiyo kufika dar ni kama kula chapat kwa mchuzi tuu
 
Ubunifu tu wa kutoka kimaisha maana anajua atachangiwa mia 2 mia 3,na kupata media attention......Maana Pombe Pierre kawahi
 
Kashafika Chalinze

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo ni mnafik kaja kwa pikipiki
Ili tusiweke ligi zaidi,jipimie wewe tu kwenda moro kwa mguu utachkua siku ngapi,,,,!!halaf fah kuwa dar Moro km200na kitu
Fikiria Dar mbeya[emoji38]km elf na kitu
Mkuu wewe ukitembea kuanzia msimbazi hadi kimara lazma ulale na imani hapo hadi korodani zinamwaga ukungu wa jasho[emoji38]
 
Back
Top Bottom