Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Hapo ndio utaona unafiki wa watu
Akiliwa mikumi hakuna atakaye mtetea hapa.
Ukiwaambia wakatembee wao hawatakubali huo upuuzi

Sababu ya kutembea ushujaa wa kijinga aisee[emoji23][emoji23]

Hapo chini nmecheka ety anatafuta njia ya pekeyake [emoji23][emoji23]
Tunasubiri pia wakati wa kurudi atembee tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani koment nyingi za wavulana wa dar eti ni jinsi gani atavuka mbuga ya mikumi kwakuwa kuna wanyama wakali kama simba, kidume kimeshayajua hayo kabla hamjafikiria hayo huku mikoani simba sio issue kivile kwakuwa tumeshawazoea tunapishana nao porini daily,

Ila sishangai kwakuwa nyie huko panya tu akiingia ndani hamulali, subiri mumpokee then mumuulize huyo mwanaume amevukaje mikumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mitandao ya kijamii toka ienee,wapo watu wanatafuta kiki kiwepesi saaana,wapo watu siku hizi,hawafanyi kazi,wanatafuta kiki tu,huku mbeya mashamba kibao,lakini utasikia analia kazi hamna, watu mitandao inawabeba. Huyu hapa baadae utasikia achangiwe,kiwepesi tu. Huu ujinga tukiuendekeza kwa vijana mitandao itawasubirisha,then uzee unamjia hakuna alichofanya,upuuuzi mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Haezi rudi kwa miguu sababu atakuwa ameshakuwa maarufu hivyo hawatokosekana wa kumlipia nauli. 😅😅
 
Ha ha ha washagundua kumbe kutembea dili kuna yule mmoja alikula 1m ya konda boy juz mech ya stars
Huyu anaiga kaona deal mwenzie kapewa 1M na Makonda na zawadi zingine toka TFF.

Wabongo kwa kuiga! Kuna mwingine enzi za JK alitoka mkoani kuja kumpongeza JK mara wakaanza kujitokeza wengi kuiga wakafungiwa geti na Ikulu.
 
Endeleeni kumjaza upepo...mwishowe atajaa atapasuka

Mumjaze hivyohivyo atembee tena na kurudi

Akifika inabidi mumpe kifuta jasho Sasa kwa kazi ya kizalendo ya kutembea toka mbeya...
Huyu nahisi aliondoka kwa kutoroka kwao/kwake



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameshindwa kuendelea baada ya kuchoka miguu, ameomba asaidiwe nauli ya kufila morogoro kuungana na lialia wenzie. Ushabiki wa mpira raha sana

Duuh! Ye alijua kutoka Mbeya hadi DSM ni kama anakwenda shamba au sokoni.

Pole kwake. Haya mutowe sasa hiyo nauli ili mshabiki wenu afike DSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…