Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Alishindwa kuja wakati wa taifa star na uganda, watu wengine siyo wazalendo kabisa
 
Du! wana gongo wazi mnatoa povu balaa!!!! inaonyesha jamaa kawachefua sana!
 
Ha ha ha washagundua kumbe kutembea dili kuna yule mmoja alikula 1m ya konda boy juz mech ya stars
Ndio.shida watu hawana ubunifu tofauti kazi ni kuiga tu

Wa sukumaland
 
I am a Simba Fan, bora angepiga kazi akapata Nauli akaenda Mpaka Moro town, from Msamvu ndo arime rami mpaka Dar! Ila kutoka Mbeya mpk Dar eti kisa mapenzi na Simba ni kutotumia akili vzr ktk maamuzi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za mbumbumbu wanazijua wenyewe. Mbeya to Dar kwa mguu?
All the best!
 
Hayo sio mahaba ila ni Mateso. Asikilize radio tu kama hana Tv huko si lazima afike uwanjani.
 
Nilipigwa na baridi pale makambako acha kabisa Mkuu. Kuna upepo mkali na ile baridi duh! Baridi ya njombe niliipenda.
Umeonae? Mimi niko hapa tangu jana ila leo saa 11 jioni nimeondoka.
Ila bado siamini nahisi kama bado niko huko!
 
Alishindwa kuja wakati wa taifa star na uganda, watu wengine siyo wazalendo kabisa
Hili kosa naona mkuu wa kaya amewafanya watu wengi walifanye.... Siyo Taifa Star... Ni Taifa Stars. Nimemsikiliza mara nyingi mkuu wa kaya anatamka hivyo kimakosa, hivyo wengi wanakwenda naye. Taifa Stars ni Nyota wa Taifa siyo Nyota ya Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…